matengongolo
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 305
- 104
Ladha sana sikuizi hayupo kwnye misingi
My best songi kwake "hao"
My best songi kwake "hao"
Ladha sana sikuizi hayupo kwnye misingi
My best songi kwake "hao"
Jamaa yuko unique,mpole flani hivi tofauti na mdogo wake ananiboa sifa nyingi.
Ladha sana sikuizi hayupo kwnye misingi
My best songi kwake "hao"
ni kweli mkuu hili kundi lilipofikia sasa sikutegemea kabisa maana mengi huishia kuvunjika
ni kweli mkuu hili kundi lilipofikia sasa sikutegemea kabisa maana mengi huishia kuvunjika
N2N ilitisha sijui shetani gani akawakuta,lord eyes alikuwa mkali wao ila akachemka,IBRA naye ndo hivo aliyebaki anajielewa ni g-nako,Kama siyo weusi wasingesikika tena
Lord Eyez alianza kupoteza toka ameanza kudate na Rayc
N2N ilitisha sijui shetani gani akawakuta,lord eyes alikuwa mkali wao ila akachemka,IBRA naye ndo hivo aliyebaki anajielewa ni g-nako,Kama siyo weusi wasingesikika tena
Karibu kwenye show za joh daaah mchizi katoka mbali kinoma enzi zile daraja mbili na fire tukichoma wider na machizi wa ungalimited big up joh uko fresh huna makuu .
Ibra naye nini ilimkuta
Ibra na Bou Nako walikuwa wanalalamika Lord Eyez anawadhulumu mkwanja, sometimes anaenda kupiga show na Gnako hawashirikishi wengine
Cha ajabu Joh hadi sasa anaogopa lyric Street battle, hatoi mixtape wala nini na ndo maana hataki BAM na Bonta washine. Kwenye show yao ya Arusha Nick alihakikisha kck hawaimbi ili wasifunikwe! Atakuwa mfalme wa hip hop Tanzania lakini sio King wa Chuga