Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

Mkuu ngosha nae anajua kufreestyle..japo sio kivile kama hao wakina zilla na nikki..binafsi nimewahi kumshuhudia

Ngosha hajui kufreestyle, nilishamsikia zaidi ya mara moja, anajiumauma tu vile hata mi naweza
 
na flow zake zile dizain kama hataki vile kumbe ndio track inaenda.... Joh namkubali sana

Umesikiliza ngoma mpya aliyoimba na Nahreel.

Kuna wakat unafikir kamaliza kumbe anaendelea.
Jamaa anajua aisee.
 
Lifted style ndo nini mkuu, au ulitaka kumaanisha freestyle? Freestyle ni moja ya vitu muhimu kwa mwanahiphop lakini sio lazima, na sio nguzo ya hiphop.Ulishawahi kumuona Fid anafreestyle? Mbona ndo wengi wanamuaminia kwamba ndo icon ya hiphop tz.Godzilla anafreestyle sana lakini watu mbona hawamtaji kama mwanahiphop bora?

Hahahahaaaa leo kende umenifurahisha sana.Kila ninachotaka kukisema wewe upo mulemule!
:thumbup::thumbup:
 
Last edited by a moderator:
hamana mkuu sema tu Joh sio muongeaji sana hasa katika mambo yaliyo nje ya mziki

Na Ukitaka Kujua kuwa Nikki ni mtupu, sikiliza "Media Ina Njaa - Shah Bang ft. G-Nako ndio utagundua kuwa Shah Bang (Wa River Camp) angesikika mapema Nikki angesubiri Sana. na ndio maana ni kama wanabana Bonta na Shah Bang wasisikike Sana, vile vile walivyofanya kwa IBRA DA Hustler
 
Hahahahaaaa leo kende umenifurahisha sana.Kila ninachotaka kukisema wewe upo mulemule!
:thumbup::thumbup:

Nahisi nyota zetu zinafanana
 
Last edited by a moderator:
Na Ukitaka Kujua kuwa Nikki ni mtupu, sikiliza "Media Ina Njaa - Shah Bang ft. G-Nako ndio utagundua kuwa Shah Bang (Wa River Camp) angesikika mapema Nikki angesubiri Sana. na ndio maana ni kama wanabana Bonta na Shah Bang wasisikike Sana, vile vile walivyofanya kwa IBRA DA Hustler

Bonta hawezi kuuza kwa style yake ile, labda abadilike, na kusema Nikki Wa Pili ni mtupu ni ukosefu wa adabu
 
Ngosha hajui kufreestyle, nilishamsikia zaidi ya mara moja, anajiumauma tu vile hata mi naweza

ni ngumu sana kupata complete package ya hip hop kwa sasa ( mtu anayeandika punchlines za hatari na freestyle)

zilah anaweza freestyle lakini hana punchline kabisa!!

ana flow tu Kali basi.

labda the late cow wizy ndo alikuwa mkali wa vyote.

Niki anaweza sana kuandika wakati joh anaweza sana freestyle.

kwangu mimi msanii wa hip hop asiye na punchlines hata simuhesabu kama ni mkali
 
Nadhani hapa umekosea "
Niki anaweza sana kuandika wakati joh anaweza sana freestyle", Joh hawezi freestyle
 
Deo Corleone Ngwea, Chid Benz, Afande, Prof Jay, etc sio watu wa kuandika punch, je sio wakali?
 
Last edited by a moderator:
Na Ukitaka Kujua kuwa Nikki ni mtupu, sikiliza "Media Ina Njaa - Shah Bang ft. G-Nako ndio utagundua kuwa Shah Bang (Wa River Camp) angesikika mapema Nikki angesubiri Sana. na ndio maana ni kama wanabana Bonta na Shah Bang wasisikike Sana, vile vile walivyofanya kwa IBRA DA Hustler
Nikki mtupu?????
we utakuwa mpenzi wa Dangote bila shaka.
 
Na Ukitaka Kujua kuwa Nikki ni mtupu, sikiliza "Media Ina Njaa - Shah Bang ft. G-Nako ndio utagundua kuwa Shah Bang (Wa River Camp) angesikika mapema Nikki angesubiri Sana. na ndio maana ni kama wanabana Bonta na Shah Bang wasisikike Sana, vile vile walivyofanya kwa IBRA DA Hustler

shah bang yuko njema ila Bonta tatizo style yake naye habadilishi, anaweza hiphop but syle kama yake saiz inapendwa na wachache.
 
Joh ni mkali ila aliwahi kusema wapiza nawa mistari soft kama lotion nae amerudi kwenye mile alichokuwa anawaponda wapinzani wake bongo flava
 
nikitaka kusikiliza copy za ladha za jiga ndo namsigilizaga uyu jamaa....namkubali anabehave within industry!!!
 
Njoo Tupige magoti tusali au tumpelekee mganga kuku na UDI niaje ni vipi mbona haurudi? Joh wa Saimon .
 
Bongo hakuna wasanii wa hip-hop ,wengi wanaigiza ila michiliku bado haijifichi ndani yao.hip-hop ni culture..f ur brave enough to diff btn culture n customs huwezi sema joh makin anafanya hip-hop......hip-hop is à culture.!!
 
tukihamia michiliku atasema bongo hakuna wasanii wa michiliku, tukija bongo fleva bado unaweza kusema hivyohivyo ...

nusu saa ya mshale
nusu suluale
 
Back
Top Bottom