Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

Mm Niko na natoka kaskazini naipenda KLM na arusha ni R-chuga ma home sweet joh cwezi kusema cyo mkali joh ni zaidi ya noma
 
Deo Corleone Ngwea, Chid Benz, Afande, Prof Jay, etc sio watu wa kuandika punch, je sio wakali?

labda unijuze punch ni nini?
punchlines ni ile mistari inayofikisha message ,ikiwa na vina vinavyoeleweka.

sio kama hii" Deo na go, naflow
kama hujui just Google,
mimi ni soo,tena magnifco.
huniwezi kuchana
just ask your mama!!

hiyo huwezi kuita mistari kwenzi!!

back to your questions

prof jay,afande ,ngwair
wana punchlines kibao tu zinazoeleweka!!

chid naye mkali wa punch but sio Mara nyingi hutumia
 
Last edited by a moderator:

mkuu we hatari umeamua na kushusha mistari kabisa
 
labda unijuze punch ni nini?
punchlines ni ile mistari inayofikisha message ,ikiwa na vina vinavyoeleweka.

sio kama hii" Deo na go, naflow
kama hujui just Google,
mimi ni soo,tena magnifco.
huniwezi kuchana
just ask your mama!!

hiyo huwezi kuita mistari kwenzi!!

back to your questions

prof jay,afande ,ngwair
wana punchlines kibao tu zinazoeleweka!!

chid naye mkali wa punch but sio Mara nyingi hutumia

Kama hao unawaweka katika kundi la wenye punch basi hupaswi kumuacha Joh Makini, wote hao wana punch za kutafuta na tochi kwenye lyrics zao
 
Kama hao unawaweka katika kundi la wenye punch basi hupaswi kumuacha Joh Makini, wote hao wana punch za kutafuta na tochi kwenye lyrics zao

Huwa unazitafuta punchlines kwa tochi kwenye verse za Prof.Jay?

Either ni mimi au Wewe sijui maana ya punchlines.

tupacfied Pukudu Mtamile mtengwa matumbo Jaslwas

Kwa mpanuo wa mjadala
 
Last edited by a moderator:
Kwa misingi hyo bas Hamas hafanyi hiphop,hiphop inamisngi yake na ili tuite hiphop inabidi misingi ifatwe,Joh anafanya bongo fleva,alitakiwa kushindanishwa na kuna diamond,hiphop wanafanya Runduno,akina songa,nikkimbishi,n the Lyn,
Sijawai kumuona mwanamziki wa hip-hop asiyejua lifted style.cowbama ngweair RIP watu wanachezea mziki wako uku

kwani hiyo misingi mlianzisha ninyi wa Tanzanian?....usha ambiwa ile ni VIBURIFLOW........"wakati mnadunduliza kupata punch lines,mi nafululiza kumake hit songs" nusu nusu........
 
pamoja na kazi nzuri anayofanya producer nahreel kuhakikisha nyimbo za kundi la weusi kwa ujumla zinafanya vizuri katika ulimwengu wa muziki lakini hadi leo Nahreel hajawahi pata tuzo ya producer bora,,, lakin jamaa anatisha ile mbaya
 
sahivi itakua yeye....sema nahreel watu walikua hawamjui sababu kazi yake kubwa ilikua kutengeneza beats..
 
pamoja na kazi nzuri anayofanya producer nahreel kuhakikisha nyimbo za kundi la weusi kwa ujumla zinafanya vizuri katika ulimwengu wa muziki lakini hadi leo Nahreel hajawahi pata tuzo ya producer bora,,, lakin jamaa anatisha ile mbaya

labda mwaka huu atachukua..... ofcoz jamaa anajitahidi sana.
 
Unataka na Joh asande game kama Nikki Mbishi ili umcheke? Mi mwenyewe nilikuwaga km wewe ila sahiv nimeona haina maana, cha msingi utoe wimbo utakaoyafurahisha masikio yangu basi, hao tunaosema wanafata misingi sioni cha maana wanachorap zaidi ya kujisifia, oh mimi mkali sijui kama nani na bla bla nyingi...

usiongozwe na mahaba mzee,nadhani bado hatujaelewana na sidhani kama ulikuwa na mapenzi ya dhati na real hip hop,anyway we are different katika misimamo siwezi kukulazimisha kuwamuuni waninako amin
 
kwani hiyo misingi mlianzisha ninyi wa Tanzanian?....usha ambiwa ile ni VIBURIFLOW........"wakati mnadunduliza kupata punch lines,mi nafululiza kumake hit songs" nusu nusu........

na tena anafululiza kuzoa tuzo.
 
na tena anafululiza kuzoa tuzo.

kuna watu wanakariri mambo na hatimae huachwa na wajanja wanaojua kudunda na mda.kanuni za mambo zina undergo mapinduzi either locally or internationally. sio lazima kila badiliko lianzie ulaya na america. go joh go. sisi ndio walaji wa products na tunaenjoy so nyie wenye misingi mtasubiri
 
Back
Top Bottom