Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

Kama yupo Arachuga mida hii poa.Ila jamaa ni jirani yangu pande hizo.
Nawajua vizuri tu.

River camp au?

Nimekumiss x wangu pande za DARAJA 2, daah, Arusha nilishindwa kuvumilia michezo yenu ya visu tu! Lkn nahold good memories of r chuga.
 
Mwamba wa kaskaziniiiii....joh makini sweet ma sweet home R-chuga forever daaah u arusha umenikolea siwezi kuuacha
 
akiwa mfalme wa tz fid q yuko wap
mwambie andelee kuunga vina vyak n kubebwa na cloudz kix kun washkaj zao wa chuga,adam,b12 nk
bt ule mwisho umekaribia
"wanambeba kwny media ila kwny show nammeza"

kwani nyimbo zake zinapigwa clouds tu??

mbona za Fid nazo zinapigwa
 
nawakubali weusi kwa ujumla kila mtu anajua anachofanya

joh -kuflow
nikki -kuchora mistari
warawara -chorus

hao jamaa ni shidaaa
 
River camp au?

Nimekumiss x wangu pande za DARAJA 2, daah, Arusha nilishindwa kuvumilia michezo yenu ya visu tu! Lkn nahold good memories of r chuga.

Chuga ni home tu lakini mimi sio mkazi na wala sijawahi kukaa sana kule zaidi ya kwenda kusalimia tu.

Poleeeee.
 
tatizo nick maneno mengi amesahau kuwa zamani alikuwa anauza tu sura kimyakimya kwenye nyimbo za bro wake kama STIMU ZIMELIPIWA halafu leo hii mara ajikute eti kasoma sana sasa elimu yake na muziki wapi na wapi

Hahahahaaa Nick nilimkubali kwenye ile track yake ya good boy tu.
Alivyoanza haya mambo ya sifa sifa nimemtupa kapuni nimebaki na Joh tu.
 
akiwa mfalme wa tz fid q yuko wap
mwambie andelee kuunga vina vyak n kubebwa na cloudz kix kun washkaj zao wa chuga,adam,b12 nk
bt ule mwisho umekaribia
"wanambeba kwny media ila kwny show nammeza"

Joh hata kama anabebwa basi anabebeka, nyimbo zake kali na zinasikilizika kwa mtu yeyote, tofauti na Fid anayesikilizwa na watu wa Hiphop zaidi
 
Wakuu huyu msanii level nyingine kabisa karibu kila wimbo alioimba mwaka 2014 hata za kushirikishwa zimekuwa nominated kwenye tuzo za killi music award. Mfano wa hizo nyimbo ni;
1.gere-joh, nick II, G Nako.
2. xo- joh ft G nako.
3. unanichora- ben paul ft joh.
4. ni penzi
5. vitamin music- belle9 ft joh

live long Joh...+ weusi wote..

Umesahau Joh Makini - I see me Mkuu
Joh hz de baddest Rapper in Tanzania huyu jamaa hana mtu wakufananisha nae kabisa kila akitoa nyimbo ni hit song. Namkubali hz my #1 Hip Hop Artist.
 
Umesahau Joh Makini - I see me Mkuu
Joh hz de baddest Rapper in Tanzania huyu jamaa hana mtu wakufananisha nae kabisa kila akitoa nyimbo ni hit song. Namkubali hz my #1 Hip Hop Artist.

na flow zake zile dizain kama hataki vile kumbe ndio track inaenda.... Joh namkubali sana
 
Ladha sana sikuizi hayupo kwnye misingi
My best songi kwake "hao"

Misingi sikuhiz haina mpango watu hawataki Hip Hop ngumu wala kuelezea mashida au Siasa kwenye nyimbo. Watu wanataka Gudmusic ndo mana ana survive kwenye game hadi leo stil anapanda
 
Misingi sikuhiz haina mpango watu hawataki Hip Hop ngumu wala kuelezea mawa au Siasa kwenye nyimbo. Watu wanataka Gudmusic ndo mana ana survive kwenye game hadi leo stil anapanda
Kwa misingi hyo bas Hamas hafanyi hiphop,hiphop inamisngi yake na ili tuite hiphop inabidi misingi ifatwe,Joh anafanya bongo fleva,alitakiwa kushindanishwa na kuna diamond,hiphop wanafanya Runduno,akina songa,nikkimbishi,n the Lyn,
Sijawai kumuona mwanamziki wa hip-hop asiyejua lifted style.cowbama ngweair RIP watu wanachezea mziki wako uku
 
Waache wafanye hao kina Linduno Nikki Mbishi ambao inafikia hatua mpaka wanataka kuacha game kisa mziki haulipi kwao. Mashabiki wao wanaishia kuwaambia tu nyi noma mixtape zap hawanunui. Hii game bila kubadilika kuna wasanii wengi watakufa masikini. Big up kwa Weusi fanyeni hata kama mnatoka nje ya misingi cha muhmu maraia wanakubali na wanasapport
 
Back
Top Bottom