[h=2]Re: Jogoo anapowika[/h]Jogoo mara nyingi anawika kati ya saa kumi alfajili ili kuwakumbusha muda wa kupiga cha mwisho watu ndo mwende kwenye miangahiko ma mara nyingi jogoo wa binadamu(Me) lazima nayae atakuwa anawika tu.MMMMMMMM
Hivi eeeeh!!!!Jogoo mara nyingi anawika kati ya saa kumi alfajili ili kuwakumbusha muda wa kupiga cha mwisho watu ndo mwende kwenye miangahiko ma mara nyingi jogoo wa binadamu(Me) lazima nayae atakuwa anawika tu.MMMMMMMM
Jogoo anapo wika asubuhi ni anawa amsha watu au kuku wenzake?
Au kuna kitu kingine zaidi?
Jogoo akiwika mara nyingi huwa anamwamsha kuku mwenzake...ndio maana Jogoo wa mmwanaume akiwika anatafuta mwenzake na akimpata hawiki tena.
Nimekupata ndiyo Manana na sisi. Tunakojoa kuweka mipaka lakini tunaibiwa.Kuwika kwa jogoo ni kuweka mipaka ya maeneo yake, kwa hiyo anatoa taarifa hasa kwa majogoo wenzie kuwa nipo kitaa msisogee na pia anawambiaa tetea(kuku wa kike) kwamba kidume nipo mtaani njoo mpate huduma. hii pia ipo kwa wanyama wengine mbwa huwa wanakojoa kila
kichaka kilichopo mtaani kwake hiii ni kwa wale mbwa koko lol.
Ni kumwamsha mamaa