Jogoo anapowika

Jogoo anapowika

Jogoo anapo wika asubuhi ni anawa amsha watu au kuku wenzake?
Au kuna kitu kingine zaidi?

mi jogoo langu lazima liwike saa 11 asubuhi. Sijui ni kwanini.
 
Linataka kitu roho inapenda
 
nachanganyikiwa kidogo hapo...ila najaribu kuelewa, lakini hutokea hata mchana akawika pia (babu zetu walisema eti sio vizuri akiwika mchana..tehe!!)
ukisema anawaamsha kuku wenzake, ina maana hata majogoo wengine, maana jogoo ni kuku pia, ilo jina tu!!tuseme anawaamsha mitetea..
 
tetea kiswahili fanisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom