Lukansola kwanza nakushukuru kwa kuwataarifu wanajamii forums kuhusu ajali iliyotaka kukatisha uhai wangu ama kuudhihirisha usemi "hujafa hujaumbika"
Nashukuru pamoja nanyi kuwa nimenusurika.
Asanteni wote mlionipa pole, mlioshtushwa na taarifa hizi nawapa pole pia.
Neno langu kwenu.
MUUJIZA HAUOMBWI, BALI MUNGU HUUFANYA UTOKEE KWA MTU AMTAYE KWA MATAKWA YAKE YEYE MUNGU.
Nitarudi kwa simulizi zaidi.

Huyu bora angekufa maana alikuwa mwendo kasi sana.