Jogi anusurika katika ajali Masasi

Jogi anusurika katika ajali Masasi

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Wandugu,

Mdau mwenzetu mwana JF; jogi, amebahatika kutoka salama akiwa na michubuko kidogo tu baada ya gari aliyokuwa akiendesha lkupindukka mara tatu.

Gari hiyo aina ya Nissan X-Trail ilipinduka wakati dereva wake akijaribu kumkwepa mpanda pikipiki aliyemfuata upande wake (jogi), mpanda pikipiki na abiria aliyekuwa amemmeba pia hawakupata madhara makubwa.

Nashughulikia picha.

Asante bwana kwa kumlinda rafiki yangu.

Update:
Hii ndio gari iliyohusika kwenye ajali hiyo. AJALI.jpg
 
Last edited by a moderator:
pole zake akaoge na majani ya mpapai ameanza mwaka kwa kukwepa kifo
 
Pole sana ..... Amenusurika ni bora akatoa kaSadaka kumshukuru Mungu !! Good luck mkuuJogi uishii maisha marefu matamu.
 
Lukansola kwanza nakushukuru kwa kuwataarifu wanajamii forums kuhusu ajali iliyotaka kukatisha uhai wangu ama kuudhihirisha usemi "hujafa hujaumbika"
Nashukuru pamoja nanyi kuwa nimenusurika.
Asanteni wote mlionipa pole, mlioshtushwa na taarifa hizi nawapa pole pia.

Neno langu kwenu.

MUUJIZA HAUOMBWI, BALI MUNGU HUUFANYA UTOKEE KWA MTU AMTAYE KWA MATAKWA YAKE YEYE MUNGU.

Nitarudi kwa simulizi zaidi.
 
Sorry oooooh, the way iyo gari inavyoonekana bado Mungu anataka uishi ...na umkumbuke Siku zote Za maisha yako kwakukuokoa!
 
aisee pole sana na Mungu ashukuriwe kwa kuwa salama
 
Lukansola kwanza nakushukuru kwa kuwataarifu wanajamii forums kuhusu ajali iliyotaka kukatisha uhai wangu ama kuudhihirisha usemi "hujafa hujaumbika"
Nashukuru pamoja nanyi kuwa nimenusurika.
Asanteni wote mlionipa pole, mlioshtushwa na taarifa hizi nawapa pole pia.

Neno langu kwenu.

MUUJIZA HAUOMBWI, BALI MUNGU HUUFANYA UTOKEE KWA MTU AMTAYE KWA MATAKWA YAKE YEYE MUNGU.

Nitarudi kwa simulizi zaidi.
pole sana kiongozi.
 
Tumshukuru Mungu kwa nafasi nyingine ya maisha.
 
Pole sana mdau Jogi.
Mshukuru mungu kwa wema na muujiza alokutendea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom