Jm kwa kweli wako vizuri iringa na mbeya pia ndio wanaoenda vizuri
Halafu Iringa wanachanganya Yutong kubwa na Mini Yutong! Ila kaka kuwa mkweli mambo yanabadilika sana. Huwezi kuamini Mtwara sasa inacompete kwenye nyanja nyingi kwenye miji ambayo iliipiga gap kubwa. Lakini leo ngoma ni draw! Logde za kumwaga, hotel, kumbi za Starehe kama Maisha Club, Royal Makonde club, na Copa Cabana- huu ni wa kisasa kabisa na mpya na unazinduliwa usiku huu leo pale mjini Mtwara