Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
observation yako ni ukweli mtupu. nilimuambia Mtu mmoja kusini kuna magari ambayo ni luxury kuliko hata barabara ya Dar Arusha.
Tanga nako kuna RATCO, sasa wanatoa VIP nauli 35,000/= hadi Tanga unakaa kiti cha peke yako