Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
sure MANING
BUTI LA ZUNGU
MACHINGA
5ALLIANCE
JM LUXURY
IBRA
GAMET
HAMANJU
NAJMA
LEO NK
Penye ukweli tuwapeni credit
jamani wifiiiii
sure MANING
BUTI LA ZUNGU
MACHINGA
5ALLIANCE
JM LUXURY
IBRA
GAMET
HAMANJU
NAJMA
LEO NK
Penye ukweli tuwapeni credit
Ni ubishi usio na tija , kuna watu humu wanajifanya wajuaji sana.Kazi kumeza kila wanalosimuliwa bila kuhakiki. Ukweli ulio wazi ni kuwa Dar-Mtwara ndo kuna basi luxury na standard bora kuliko sehemu yoyote kuanzia Dar.
Nitajaribu nikaone, japo siamini,
Wakuu jichungeni sana na haya mabasi.
Vifo vya ajali ya mabasi vinaongezeka kwa kasi sana.
Na ikiwezekana Abiria wasusie kukaa viti vya mbele na dereva akienda kasi sana AKEMEWE HARAKA SANA.
Na kama hataki kusikia basi bora safari ife na polisi wafahamishwe.
Tumechoka kuona watu wanakufa ovyo.
nakutajia kampuni kumi ambazo zina basi standard kwa routi ya dar arusha japo kuna kampuni kama utitiri vile.
1. kilimanjaro
2.buffaro
3.ngorika
4. machame express
5.lim safari
6.kidia one
7. ibra line
8.metro
9.arusha one
10.kirumo
hizo nibaadhi ya kampuni zenye basi ztandard. arusha dar route ni noma na kwa mtazamo wangu mi nadhani hii route ndo inaongiza kwa zababu route ya mtwara hata kampun 5 standard hazizidi
Bila kusahau Mtei na KIMOTCOnakutajia kampuni kumi ambazo zina basi standard kwa routi ya dar arusha japo kuna kampuni kama utitiri vile.
1. kilimanjaro
2.buffaro
3.ngorika
4. machame express
5.lim safari
6.kidia one
7. ibra line
8.metro
9.arusha one
10.kirumo
hizo nibaadhi ya kampuni zenye basi ztandard. arusha dar route ni noma na kwa mtazamo wangu mi nadhani hii route ndo inaongiza kwa zababu route ya mtwara hata kampun 5 standard hazizidi
acha hizo wewe route yenye mabasi mengi na standar ni rout ya dar arusha na sone how dar dodoma. sasa huku mtwara kampuni za mabasi zinahesabika tu afu uringanishe na rout ya dar arusha ambako kuna kampuni za mabasi zaidi ya 20 na zipo standard
Bila kusahau Mtei na KIMOTCO
Namimi nachambua kati ya hizo ambazo naona zinaweza kushindana na laxary za kusini.Kilimanjaro, Kidia one, Metro na Arusha one basi.
Bila kusahau Mtei na KIMOTCO
Nafurahi kusikia hilo, nilikuwa Mtwara mwaka 2007 hakukuwa kuzuri eti, ila najilaumu sikununua hata robo ekari ya Kiwanja.Halafu Iringa wanachanganya Yutong kubwa na Mini Yutong! Ila kaka kuwa mkweli mambo yanabadilika sana. Huwezi kuamini Mtwara sasa inacompete kwenye nyanja nyingi kwenye miji ambayo iliipiga gap kubwa. Lakini leo ngoma ni draw! Logde za kumwaga, hotel, kumbi za Starehe kama Maisha Club, Royal Makonde club, na Copa Cabana- huu ni wa kisasa kabisa na mpya na unazinduliwa usiku huu leo pale mjini Mtwara
Jaribu. Uzuri ni kuwa Mimi makazi yangu ni Arusha na kusini niko kikazi hivyo naelewa utofauti uliopo.
Unadandia hoja wewe, sijazungumzia wingi wa kampuni za basi. Ni kuwa ukichukua wastani wa mabasi kwa ujumla wake ni kwamba Mtwara ndo wako juu ya Ar au huko Dom. Mimi ni shahidi wa kusafiri mara kwa mara maeneo mengi kwa kutumia hayo mabasi sio wa kusimuliwa kama wewe.
sasa utazungumziaje wastani bila kuhusisha uwingi au idadi ya hayo mabasi? hiyo hesabu ya wastani unaitoa wapi bila wakati unaignore idadi ya mabasi?
hata hivyo kwa wastani tu chukua idadi ya mabasi yanayotoka dar kuja mtwara ukizidisha mara 10 hivi ndo utapata idadi ya basi za dar arusha. hapo ndo ujiulize huo wingi wa mabasi ya arusha je yote hayapo standard?
au kwakuwa basi inaandikwa classic/luxury ndo unaamin ni standard?
Wacha Madhereu bro....!! Tutake RadhiScandinavia haitakaa itokee Tanzania tena. Sijui mzee Mohamed ameanzisha biashara nyingine
That was the bus. Dar Bukoba kwa passport. Dar Musoma kwa passport. Dar Nairobi. Dar Mombasa. Dar Tanga. Dar Arusha name it na route hiyo walikwenda ispokua Mtwara maana hakukua na abiria wenye hadhi ya kupanda MARCO POLO ANDARE CLASS
Scandinavia haitakaa itokee Tanzania tena. Sijui mzee Mohamed ameanzisha biashara nyingine
That was the bus. Dar Bukoba kwa passport. Dar Musoma kwa passport. Dar Nairobi. Dar Mombasa. Dar Tanga. Dar Arusha name it na route hiyo walikwenda ispokua Mtwara maana hakukua na abiria wenye hadhi ya kupanda MARCO POLO ANDARE CLASS
jamani wifiiiii