JM Luxury coach: Mbadala wa Scandinavia Express

JM Luxury coach: Mbadala wa Scandinavia Express

Hapa nimeweka jina hilo kwa makusudi kama kumbukumbu za maisha ya huko home Mtwara, japo naishi Dar kikazi. Pale Sealander Bridge( sorry spelling mistake) ukipita utasikia harufu ya Chaza. Sasa kwa kuwa maji yameingia ardhini ndo wakati Rasi ya Chaza yaani Oyerster Bay! Chaza huitwa ni Oyerster kwa kimombo.

Asante kwa maelezo murua kuhusiana na asili ya jina la mtaa Rasi ya Chaza. Napapenda sana Mtwara ardhi niliyozaliwa na kukulia huko. Nishakula sana kunazi kule NASACO nyuma ya bandari na maeneo ya shangani. Teh teh teh.
 
Kaka uko wapi! Kama Dar tafadhali ni PM! Maana kunazi, siyo mchezo!
Unanikumbusha mbali sana mdau. Wakati wa Litingi a.k.a La Sindimba Disco na Bandari Club, Mtwara ya wakatu huo!

Wakati huo sekondari kubwa pale mjini Mtwara ni Sabasaba, Mtwara Tech na Mtwara Girls yaani tatu tu mji mzima. Wakati ule shule za msingi zilikuwa 19 tu mji mzima wa Mtwara!
 
aisee hapo ziwani nilipita sana na kula madafu..Msimbati nilikuwa camp na ARTUMAS GROUP.

Ilikuwa ukitoka mjini, ukifika kona ya barabara ya Newala au Msimbati, pale kuelekea Mikindani ukivuka tu njia panda hadi ukute nyumba ni.lile kanisa la pale Magomeni. Full msitu.
 
Asante kwa maelezo murua kuhusiana na asili ya jina la mtaa Rasi ya Chaza. Napapenda sana Mtwara ardhi niliyozaliwa na kukulia huko. Nishakula sana kunazi kule NASACO nyuma ya bandari na maeneo ya shangani. Teh teh teh.

Ambwene Yesaya AY, ni Mnyakyusa lakini ni mzaliwa wa Ligula Hospital pale Mtwara. Unalijua hilo!
 
Tukirudi kwenye uzi, Usafiri wa kusini na hasa Mtwara na kiasi Masasi uko poa sana. Watu watafanya sana comparison lakini ukweli uko palepale kusini KUCHELE
 
Kaka uko wapi! Kama Dar tafadhali ni PM! Maana kunazi, siyo mchezo!
Unanikumbusha mbali sana mdau. Wakati wa Litingi a.k.a La Sindimba Disco na Bandari Club, Mtwara ya wakatu huo!

Wakati huo sekondari kubwa pale mjini Mtwara ni Sabasaba, Mtwara Tech na Mtwara Girls yaani tatu tu mji mzima. Wakati ule shule za msingi zilikuwa 19 tu mji mzima wa Mtwara!

Kwa sasa niko Kgm ila kwenye tarehe 25-29 nitakuwa hapo mjini nitakupm kwa maelezo zaidi.Raha leo Pr School kisha Sabasaba ndo shule niliyosoma hiyo. Ni kweli kipindi hicho mambo ya shule yalikuwa magumu kidogo Mtr.
 
Lilungu na Naliendele then Mtwara Tech baadae mambo ya Engineering.
 
Ambwene Yesaya AY, ni Mnyakyusa lakini ni mzaliwa wa Ligula Hospital pale Mtwara. Unalijua hilo!

Yap nilisikia habari za AY kuhusu Mtwara pia niliambiwa alisoma pale shangani pr school bila kusahau SUGU naye nilisikia ila sina uhakika kuwa aliwahi soma SABASABA.
 
Kwa sasa niko Kgm ila kwenye tarehe 25-29 nitakuwa hapo mjini nitakupm kwa maelezo zaidi.Raha leo Pr School kisha Sabasaba ndo shule niliyosoma hiyo. Ni kweli kipindi hicho mambo ya shule yalikuwa magumu kidogo Mtr
 
Tukirudi kwenye uzi, Usafiri wa kusini na hasa Mtwara na kiasi Masasi uko poa sana. Watu watafanya sana comparison lakini ukweli uko palepale kusini KUCHELE

Ni ukweli ambao baadhi hawataki kuukubali. Na maendeleo ya kusini yanakimbia kwa kasi sana.
 
Yap nilisikia habari za AY kuhusu Mtwara pia niliambiwa alisoma pale shangani pr school bila kusahau SUGU naye nilisikia ila sina uhakika kuwa aliwahi soma SABASABA.

Hiyo ya Sugu nilisikia enzi zile miaka ya 1993/5.

Kwa hiyo unaishi Kigoma? Au Dar au Mtwr?
 
Makazi ni Kgm kwa sasa lakini ninasafiri mara kwa mara Moshi, Dar na Mtwara
cc Chaza.
 
Usafiri wa mabasi kwenda mikoani umeanza baada ya kuja kwa Yutong? Serious?

Hebu tafuta bandiko la mabasi ya mikoani hapa JF ili upate data za mabasi tokea wakati wa Uhuru hadi leo!

Hujanielewa mkuu, namaanisha bus za kwanza. zinazotengenezwa na kampuni za yutong kwa mara ya kwanza baada ya kuingia nchini zilipelekwa root ya Dar- Mbeya, na hata Zhongtong kwa mara ya kwanza zimeonekana nchini zililetwa na kampuni ya New Force na root ya Dar-Mbeya. Nnaposema all time root with luxury bus namaanisha kuanzia huko nyuma siongelei miaka ya 2000
 
waambie ndg. hiyo ni dar tanga dar. RATCO EXPRESS. Basi lina madaraja ndani kwa ndani. wajaribu kulinganisha na wanayoyasifia hapa

aisee hili basi nadhani ndio funga kazi kwa sasa, kuna zaidi ya habari hapo pichani, kila kiti kina TV yake na unasearch channels/picha utakazo
 
aisee hili basi nadhani ndio funga kazi kwa sasa, kuna zaidi ya habari hapo pichani, kila kiti kina TV yake na unasearch channels/picha utakazo

watu wanaconclude tu bila kufanya utafiti wa kutosha. mtu anatoka kupanda mabasi ya dar kigoma au dar malinyi akipanda luxury ya kawaida tu dar mtwara anasema ndio best nchini. haya mtwara kuna gari ya kulingana na hyo?
 
Hahahaaa...:O lengo langu siyo mabasi kukosa abilia, lakini kama na wewe ulitaka kujua kuhusu abilia siku ile niliyosafiri na bus lile lilikuwa limejaa hivo cjaona kiti kilichokuwa wazi.
La muhimu ni kile nolichovutiwa nacho nikiwa safarini, na kwa taarifa yako nilifuatilia kwa abilia wenzangu baadhi wakaniambia au kupingana na kauli yako kuwa hayana mvuto ila walisema kati ya mabasi pendwa mbeya na iringa no JM LUXURY COACH.
Mkuu nipo kwenye sekta ya usafirishaji kwa muda mrefu sasa, kwa kusafiri na gari siku moja sidhani kama ni sahihi kuja na kauli kama hizo, hadi sasa anaekaribia kwa mbali Scandinavia kuwa na huduma zinazoridhisha ni KLM EXPRESS, but NDENJERA amemzidi KLM ila hayupo kutokana na kuwa na idadi ndogo ya magari na route.
 
watu wanaconclude tu bila kufanya utafiti wa kutosha. mtu anatoka kupanda mabasi ya dar kigoma au dar malinyi akipanda luxury ya kawaida tu dar mtwara anasema ndio best nchini. haya mtwara kuna gari ya kulingana na hyo?

Unakusudia kutuambia nini hasa hapo¿¿? Kwamba katika uhalisia route ya Mtwara Dar watu wanaipendelea na kwamba Luxury buses hamna, kwa kisa cha hilo Bus la RATCO sijui nini!?¿¡? Ingawa ni kweli zipo route nyingine zina mabasi Luxury, lakini haiondoi ukweli kwamba Mtwara nayo ni route yenye Mabasi bora kabisa kwa sasa Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom