JM Luxury coach: Mbadala wa Scandinavia Express

JM Luxury coach: Mbadala wa Scandinavia Express

watu wanaconclude tu bila kufanya utafiti wa kutosha. mtu anatoka kupanda mabasi ya dar kigoma au dar malinyi akipanda luxury ya kawaida tu dar mtwara anasema ndio best nchini. haya mtwara kuna gari ya kulingana na hyo?

Tatizo mko kishabiki zaidi kuliko uhalisia. Mi nasafiri kwenda mikoa mbalimbali nchini. Hivyo hayo economy na business class nishasafiri nazo sana, kuanzia New force, Ngorika, Ibra line, Machame n.k. Hapa tunaongelea uwepo wa basi standard..Mtwara inaongoza kuwa na basi nzuri. Nenda Temeke huwezi kuta za kuchonga au zilizochoka si bodi wala mashine. Hii haiondoi uwepo wa luxury maeneo mengine.
 
Nilipoambiwa na Rafiki yangu mmoja ambaye amepangiwa kituo cha kazi kusini mwa Tanzania kule Gas inapochimbwa Mtwara aliniambia kama naenda niwe makini kuchagua usafiri mzuri, vile sikuwa na uzoefu kusafiri mikoa ya kusini alinipa option ya magari/kampuni kama 3hivi machinga,

Wewe naona enzi za Scandinavia Express ulikuwa mtoto au hukuwa na nauli ya kupanda mabasi yao. Haya makongoro ya JM yanayoishia Mbeya na Iringa ndio unalinganisha na Scandnavia Express iliyokuwa inapiga route hadi Lusaka, Kampala na Nairobi? Kweli umepewa mgawo na JM kuwatangazia biashara.

IMG_0180.JPG

IMG_0174.JPG
 
Scandinavia ilileta mapinduzi ya usafirishaji East Africa.. Hakuna kampuni ishafikia standard ile..achilia hili LA kichina wasifia hapa
 
acheni uongo. umesafiri siku moja na basi moja unatoa conclusion. hakuna basi linaloyazidi NEW FORCE kwa sasahivi hapa tz, kwa ubora wa madereva, ubora wa mabasi yaani yote mapyaa zoug tong viti viwili na ni mengiiiii. yanaenda kila njia. huyo uliyemtaja anajikongoja na vibasi vingapi sijui. new force anatisha ndugu.
 
ama hakika gas ni kichocheo cha maendeleo kusini.sikutegemea itafika siku moja mtu ataleta tangazo kutangaza bus zake zinazoenda kusini mwa tz.ni kiashirio tosha kwamba sasa kusini ni lulu kibiashara na ushindani ni mkubwa.

wamakonde akina THE BIG SHOW fungeni mkanda, punde kidogo wachaga,wasukuma,wahaya,wanyakyusa,wangoni nk watawaheshimu.lol

shikamoo gas.

Hao uliowataja mwisho ndo wanaenda kuchukua ajira wenyeji wanachonga vinyago,kuvua vibua na kuuza madafu,shida kule elimu wengi waliikimbia labda kama wameamka siku hizi
 
Last edited by a moderator:
Hao uliowataja mwisho ndo wanaenda kuchukua ajira wenyeji wanachonga vinyago,kuvua vibua na kuuza madafu,shida kule elimu wengi waliikimbia labda kama wameamka siku hizi

ni kweli mkuu,kama huyo mmakonde THE BIG SHOW anaonekana kidogo ana elimu,ila kadili siku zinavyo zidi kwenda,udini unazidi kumuelemea.wazungu wanasema "some people graduate with university degrees, but remain stupid forever" :lol::lol:
 
We itakuwa umesimuliwa bhna huku kusin kuna Ibra Line, Mining na Machinga wapo smart sana hao jamaa. JM zinazopiga safar za kusin watu wao hawako smart kama zile za Iringa na Mbeya mwisho wa yote New Force ndo habar ya Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom