mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,307
- 75,474
Mwanamke hatolipa hata kama akiandaa mtoko mwenyewe.Unaandaa vipi outings bila pesa?
Kwahiyo nije kukusikiliza nikiwa najitolea pesa mwenyewe?
Mimi niamue mwenyewe kushare bill sio wewe ndio ujiamulie mambo..!
Uamue mwenyewe kwani mwanaume hana haki ya kuamua?
Wanawake jau sana.