JLW:Gharama za Dates

JLW:Gharama za Dates

Kwa asili mwanaume ni kama spark plug, ikishaanzisha cheche suala la muendelezo wa moto ni jingine. Just ignition, ndiyo maana tunatongoza..

Kwa sababu hiyo ya asili tunajikuta katika mfumo wa gharama za awali ila mbele ya safari sisemi....wanaume tunaelewa hii natural code.
 
Aliye-initiate date ndio anawajibika, hii ni kizunguzungu. Kibongobongo mwanaume ndio mlipa bills no matter what! So, mwanaume kama huna pesa usikubali dating yoyote hata kama mwanamke amelazimisha, epuka aibu zisizo na lazima.

Kweli mkuu! Kuepuka aibu ndogo ndogo, kama huna pesa unakausha tuu, unajifanya upo bize sana na mitikasi yako! 😊
 
Back
Top Bottom