JKT watangaza nafasi za kujitolea

JKT watangaza nafasi za kujitolea

Kwa wanao jua watuambie usaili hua unafanyika vp kwa hatua zote ukianzia kata,wilaya na mkoa

Na ni vitu gani vya kuzingatia ili kufaulu hiyo michujo?
 
muulize kijana wako hivi simu ya usaili WA magereza alikimbilia wapi?AC kwa mtabila,ziwani kwa bulombora ama,mtoni nduta kwa kanembwa.magereza wamekuja hadi wanabembeleza vijana hawataki jufanya usaili asikudanganye huyo kijana wakona usaili ulihusu op zote mbili miaka hamsini ya jkt na miaka hamsini ya muungani

NI kweli mkuu.kuhusu magereza wamekuja kwa awamu mbili,wamefanya usaili Mara ya kwanza watu wakawa hawatoshi,wakaja Mara ya pili vilevile vijana wanaringa kufanya usaili na magereza wamechukua vijana kama 1300 hivi kutoka Jkt ambao NI OP miaka 50 ya muungano
 
kama una professional nenda tu we we nafasi za kadeti zikitoka we we hutokosa au hautaki kuitwa lieutenant Excel

cheo cha juu sana icho kaka usifikir wanachukua ovyo tu.

kumbuka @tienbo, kwenye twins warrior alivopata icho cheo, kwanza mwaga damu za kutosha then ua magaid hata kumi iv....

hapo tuuakupa salute..
 
Last edited by a moderator:
degree na diploma zipo.za kutosha jkt kinacho.nitisha wata tupeleka wapi au watatufunza kilimo wakati mm na taaluma ya ICT da naogopa kwenda uko bora ni run my own project
 
We uliwaonea wapi hao wa degree na diploma. Acha kuckiliza story za vijiweni na ww ni msomi.
 
NI kweli mkuu.kuhusu magereza wamekuja kwa awamu mbili,wamefanya usaili Mara ya kwanza watu wakawa hawatoshi,wakaja Mara ya pili vilevile vijana wanaringa kufanya usaili na magereza wamechukua vijana kama 1300 hivi kutoka Jkt ambao NI OP miaka 50 ya muungano

vijana wao wanataka jwtz tu.
 
Kazi za usalama wa taifa hizo sio mpaka uambiwe mkuu......Ila usiwaambie kama nimekwambia.

nimekuelewa sana mkuu. ntafanya mchakato mzima kuanzia kesho nione kama ntapata nafasi za kupiga kwata!

kitaa kigum kweli.
 
kama hauna elimu utarudi mtaani na wala ukiwa na elimu huwezi rudi vijana wangu
 
We uliwaonea wapi hao wa degree na diploma. Acha kuckiliza story za

vijiweni na ww ni msomi.

wewe unaongea vitu ambavyo ivi jui mm kama watu watano ivi niliosoma nao chuo na o level wapo jkt
na wana degree zao labda degree ambazo auta zikuta ni doctor of medicines na telecommunication lakini buzness na art zipo tu za kutosha ila kma auna kazi ya kufanya ni bora uendw ukajitolee may uwezi jua mbele ya safari ila mm nataka niwe hero of my life and other acha ni run my own project
 
Umefatilia kwa nn bado wako huko mpk sasa ivi? Wengine wana matatizo kaka, so ucchukulie hao 5 basi uka generalize kwamba wataachwa.
Mi nilikuwa Msata juz kat kwny hii intake waliomaliza feb nilikaa na madogo walomaliza wakanifungukia v2 vngi mnnoo. Na jambo kubwa ni kwamba km ukiwa safi ki afya na nidhamu basi jkt sana utakaa miaka 2 tu ya mkataba. Hawa unaowaona wameachwa wengi wanashida mkuu.
 
We uliwaonea wapi hao wa degree na diploma. Acha kuckiliza story za vijiweni na ww ni msomi.

Umefatilia kwa nn bado wako huko mpk sasa ivi? Wengine wana matatizo kaka, so ucchukulie hao 5 basi uka generalize kwamba wataachwa.
Mi nilikuwa Msata juz kat kwny hii intake waliomaliza feb nilikaa na madogo walomaliza wakanifungukia v2 vngi mnnoo. Na jambo kubwa ni kwamba km ukiwa safi ki afya na nidhamu basi jkt sana utakaa miaka 2 tu ya mkataba. Hawa unaowaona wameachwa wengi wanashida mkuu.

nimekupata mkubwa basi ngoja nikavichimbue vyeti vyangu maana nilisha vifivha chini ila tunajitolea put it on ur mind
 
muulize kijana wako hivi simu ya usaili WA magereza alikimbilia wapi?AC kwa mtabila,ziwani kwa bulombora ama,mtoni nduta kwa kanembwa.magereza wamekuja hadi wanabembeleza vijana hawataki jufanya usaili asikudanganye huyo kijana wakona usaili ulihusu op zote mbili miaka hamsini ya jkt na miaka hamsini ya muungani
Kweli kabisa tatizo wengi wanataka jwtz matokeo take miaka miwili inaiisha hawajapata kitu ndo hawa waliotaka kuandamana juzi
 
attachment.php

Mkuu samahani hizi fomu za kujiunga jkt zinapatikana ofisi zipi wilayani au mkoani
 
We uliwaonea wapi hao wa degree na diploma. Acha kuckiliza story za vijiweni na ww ni msomi.

nilipomaliza chuo kikuu tu nikakimbilia uko niliyoyakuta ujinga mtupu nikatoroka zangu nipo zangu mtaani I run my own life niliowaacha mpaka sasa wapo kupiga muzinga tu wanasubilia uofisa sasa mpaka waupate huo uwafisa miye shakuwa mkurugenzi wa kampuni yangu na shatoa ajira kwa watu kibao na naimani tafanikiwa maana na yadai maisha haya naomba mungu aniongoze tu
 
Back
Top Bottom