Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Miezi sita
Hivi usaili umeisha?
Miezi sita
Mi npo iringa mwisho lini kupokea maombi!
Hii thread ilikuwa nzuri sana, Any updates wakuu kuhusu Intake ijayo.
Mm napenda hayo mafunzo tu, na wala cna shida ya ajira yao! nitajiajiri mwenyewe! Vp vigezo vya umri kwa anaye jua atujuze na hiyo training ni mda gani? Asanteni!
Kwenye website yao hakuna tangazo