Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Kuna uwezekano wa profesional kumaliza kozi na akasota zaidi ya mwaka bila kuajiriwa?Kuna uhitaji wa interlectuals sana jeshin ma Officer wapo wachache sana kipind cha nyuma walikiw wanachukulia pale makao makuu
Mkuu nimekuelewa kote kote ulikoongea.
Watu wameshaanza kupiga madili hapa mjini.
Jana usiku nimeongea na jamaa yangu mmoja hivi, mambo aliyoiambia yani hata sijaamini...
All in all bongo kuna tatizo kubwa sana la ajira...
Kuna uwezekano wa profesional kumaliza kozi na akasota zaidi ya mwaka bila kuajiriwa?
Aisee, sijui niende, lakini nina ajira sasa.Hapana na haiwezi tokea hiii. Hata ukiwa na degree ya kupanda maua utapata shavu tu.
Mkuu nimepewa data na mdogo wangu ambaye amepitia jkt last year (form 6) kanipa dondoo chache kuhusiana na salaries za hawa watu wa majeshi..Yah mkuu Excel, cha muhimu uvumilivu tuu.
Aisee, sijui niende, lakini nina ajira sasa.
Aisee, sijui niende, lakini nina ajira sasa.
Naombakuuliza jamani!
Hivi hayo Mafunzo ya JKT ni ya muda gani kulingana na taratibu zao?
Mkuu nimepewa data na mdogo wangu ambaye amepitia jkt last year (form 6) kanipa dondoo chache kuhusiana na salaries za hawa watu wa majeshi..
Kuna hawa wanajeshi ambao hawana vyeo kabisa (wenyewe wanajiita 'private' according to mdogo wangu) kwamba wao wanakula zaidi ya Tshs laki 8 take home na promotions kibao!
Halafu hawa wenye nyota, kwa kila nyota thamani yake ni 1 mil.
(Aliniambia sometimes walikuwa wakioneshwa salary digits..)
Mkuu unasemaje kuhusu hizo data?
zinaweza kuwa za kweli?
Nimesisitizwa kwenda huko toka nahitimu kidato cha sita, nimemaliza chuo bado nasisitizwa kwenda huko. Anko wangu ni meja wa jeshi, ananishauri kwa nguvu zote niende huko lakini mimi nimekuwa nikisita, kaniahidi vitu vingi kweli nikienda huko, lakini mimi nimekuwa nikisita kwenda huko. Ngoja nilifikirie tena hili sasa kwa kina.Ucfanye pupa mkuu kaa fikiria. Ucendeshwe na mihemko na maneno matamu.
Mkuu hii ni nafasi njema sana ya ajira. hapa ukivunga tu unaweza ukashangaa ukakaa home kwa miaka si chini ya mi5! teh..
Nikipata nafasi mi nasepa bila kujiuliza mara mbili mbili.
Inachukua miaka mingapi hadi kutulia kimaisha kabisa, yaani muda ambapo sasa unaweza kuanzisha familia baada ya kumaliza kozi zote za msingi?Calculate risk zako, ukienda kufata ajira kule unaweza kimbia mafunzo maana basic course ya JKT na JWTZ inachalenge sana kimwil na kisaikolojia ukiwa na mind doubt unakimbia kozi. Kama wapend Jeshi njoo mkuu bt kama hupend usiende kufata ajira
Nimesisitizwa kwenda huko toka nahitimu kidato cha sita, nimemaliza chuo bado nasisitizwa kwenda huko. Anko wangu ni meja wa jeshi, ananishauri kwa nguvu zote niende huko lakini mimi nimekuwa nikisita, kaniahidi vitu vingi kweli nikienda huko, lakini mimi nimekuwa nikisita kwenda huko. Ngoja nilifikirie tena hili sasa kwa kina.
Inachukua miaka mingapi hadi kutulia kimaisha kabisa, yaani muda ambapo sasa unaweza kuanzisha familia baada ya kumaliza kozi zote za msingi?
Dah, hizo ndo ajira za kiume. Unakula pesa kihalali(hard work pays more).
Inachukua miaka mingapi hadi kutulia kimaisha kabisa, yaani muda ambapo sasa unaweza kuanzisha familia baada ya kumaliza kozi zote za msingi?