KILA NAFASI UNAYOTAKA KUPITA INA UFUNGUO WAKE,JIFUNZE KUPITIA HILI PIA LITAWASIDIA
PReviously nilikuwa napenda sana jeshi,hasa nilivyokuwa namaliza chuo tu,lakini mungu alivyo wa ajabu nikapata ajira direct kwenye kampuni flan,Tumaini tena la jeshi likawa limetoweka,baada ya mwaka mmoja pale kwenye lile kampuni wakanizingua,majungu yakawa kibao sana,nikaanza kujiandaa kwa AJILI ya lolote litakaloweza kutokea,i mean nikawa nafanya kazi huku nikitafuta kazi mahala pengine,Ama kweli mungu si athumani,mwezi mmoja tu kupita nikapata ajira kwenye kampuni nyingnie pasipo msaada wa mtu,Hakika kila njia unayotaka kupita ina mlango wake wa kutokea,USISHANGAE LEO HII WEWE UNATAMAN KUJIUNGA NA JKT,LAKINI KUMBE MLANGO UTAKAO KUJA KUTOKEA NI OFFICER FLANI AU MTU FLANI MKubwa,au GEneraly ,,,,VIJANA TUSICHOKE KATIKA LOLOTE...FATA KILE MOYO WAKO UNAVYOKUSUKUMA........MWENZIO ANAVYOONA SI SAWA NA WEWE,