JKT watangaza nafasi za kujitolea

JKT watangaza nafasi za kujitolea

nilipomaliza chuo kikuu tu nikakimbilia uko niliyoyakuta ujinga mtupu nikatoroka zangu nipo zangu mtaani I run my own life niliowaacha mpaka sasa wapo kupiga muzinga tu wanasubilia uofisa sasa mpaka waupate huo uwafisa miye shakuwa mkurugenzi wa kampuni yangu na shatoa ajira kwa watu kibao na naimani tafanikiwa maana na yadai maisha haya naomba mungu aniongoze tu

Wewe ulitoroka, hukumaliza mafunzo ukaona ni nini kingefuata.
 
Umefatilia kwa nn bado wako huko mpk sasa ivi? Wengine wana matatizo kaka, so ucchukulie hao 5 basi uka generalize kwamba wataachwa.
Mi nilikuwa Msata juz kat kwny hii intake waliomaliza feb nilikaa na madogo walomaliza wakanifungukia v2 vngi mnnoo. Na jambo kubwa ni kwamba km ukiwa safi ki afya na nidhamu basi jkt sana utakaa miaka 2 tu ya mkataba. Hawa unaowaona wameachwa wengi wanashida mkuu.

Kama wanashida kwa nini wanawaruhusu kwenda jkt? point yako haina mashiko,
 
Mkuu sema hawa yaweza kuwa ni wale wanaingia mlango wa nyuma afu kumbe alikua hana vigezo...

au pengne kagundulika na ugonjwa na kaupata akiwa kambin.

au kama uliskiaga wale police waliozuiliwaga kuchukua uoficer bada ya kugundulika wana ulemavu walioupata wakati wakipambana na kaka jambaz.

na kule sababu ni nying tu.
 
Kama wanashida kwa nini wanawaruhusu kwenda jkt? point yako haina mashiko,

Usaili unafanywa na taasisi zinazoenda jkt kuchukua watu na c jkt ndo wanawapeleka.
kila taasisi km jw, tanapa, police etc wana vigezo vyao ktk usahili. Hawawez kuchukua tu eti sababu watu wako jkt bali watafuata mahitaji yao. Hapa sasa ndo panga linapowakuta baadhi.
Lakini pia kuna watu wana shidazingine km nidhamu mbovu na matatizo mengine ya kiafya so inakuwa ngumu pia kuwachukua.
 
Hivi jkt kwa mujibu yaani kwa wale waliohitimu kidato cha sita na ualimu watachanganywa na wa kujitolea wakati wafunzo?
 
Hicho kipengele wanachosisitiza kuwa nafasi zinapatikana mikoani na si makao makuu wanamaanisha nini mkuu Shefwaa?

Makao makuu ya JKT yako Dar es salaam (Kama sijakosea), ina maana hawa walioko DSM wakachukulie fomu wapi na wazitume vipi?

nijulishwe please.
 
Last edited by a moderator:

Yah, mkuu Excel kwa bahati nzuri jana nilikuwa ofic za mkoa pale Ilala kupata taarifa kutokana na mkanganyiko.
Walichoniambia ni kwamba maombi yataanza kupokelewa jumatano ya wiki ijayo pale mkoani na viambatanisho ni vyeti vya taaluma, barua ya maombi na barua ya serikali ya mtaa.
Ila bado naendelea kufuatilia kupata taarifa zaidi hasa wilayani.
NB: kwa mwaka huu wanajeshi hawahusiku kabisa na utoaji 4ms power yote wame delegate mikoani. Wao watakuja chukua watu wao tu watakaokuwa wamepatikana kutoka huko.
 
Dah. Mkuu umenifafanulia vizuri sana.
Nashukuru sana kwa dadavuo hili.
Kuna mjeshi mmoja yuko mamlaka za juu huko ameshaanza kula pesa za watu. Mpaka sasa mimi nimeshagoma kumwamini.

Kama hii ishu inaanza kufanyika wiki ijayo basi sio mbaya sana nadhani nianze sasa kufuatilia kwa umakini zaidi.

Halafu mkuu kama wakishachukua watu wanaowahitaji, kwenda kuanza mafunzo rasmi inakuwa ni lini?
 
kaka umefkria sana, dar ina mikoa mingne ndan yake kwa iyo waweza enda hata halmashaur ya wilaya.

jamani kuna ambaye ameshaichukua iyo form wadau.? na je hawazingui? kama niijuavyo tanzania
 
Kwa taarifa nilizonazo usahili utafanyika mwez wa 4 ngaz ya wilaya na mwezi wa 5 ngazi ya mkoa. Kwenye mid ya juni mpk july watu wataanza kuelekea kambini.
 
Yah, mkuu Excel kwa bahati nzuri jana nilikuwa ofic za mkoa pale Ilala kupata taarifa kutokana na mkanganyiko.
Walichoniambia ni kwamba maombi yataanza kupokelewa jumatano ya wiki ijayo pale mkoani na viambatanisho ni vyeti vya taaluma, barua ya maombi na barua ya serikali ya mtaa.
Ila bado naendelea kufuatilia kupata taarifa zaidi hasa wilayani.
NB: kwa mwaka huu wanajeshi hawahusiku kabisa na utoaji 4ms power yote wame delegate mikoani. Wao watakuja chukua watu wao tu watakaokuwa wamepatikana kutoka huko.

kaka umefkria sana, dar ina mikoa mingne ndan yake kwa iyo waweza enda hata halmashaur ya wilaya.

jamani kuna ambaye ameshaichukua iyo form wadau.? na je hawazingui? kama niijuavyo tanzania

Mkuu mkubwa 21,
tafadhali pitia post ya mkuu shefwaa hapo juu ina maelezo mazuri sana.

Kama kawaida ya Jiji la Dar es salaam, watu wameshaanza kuliwa pesa zao kwa ajili ya hizi nafasi!

Toka Tangazo hili litoke (Nililiona saa sita usiku siku ya kwanza kabisa linawekwa hapa) nilimpigia simu rafiki yangu flani hivi na kumwelezea kuhusu post hizi, kumbe yeye tayari ana watu huko juu na keshatoa laki moja na keshapeleka CV.!

Kanisisitiza sana na mimi nitoe hiyo hela, mpaka sasa nimeshasita kuitoa na sitaitoa.

Kama hii nchi ishafika mpaka level za majeshi watu wanakula rushwa basi tushaenda mbali.
 
Kwa taarifa nilizonazo usahili utafanyika mwez wa 4 ngaz ya wilaya na mwezi wa 5 ngazi ya mkoa. Kwenye mid ya juni mpk july watu wataanza kuelekea kambini.

Asante mkuu.

Kuna tofauti kwani kati ya hizo ngazi mbili zinazofanyiwa usaili?

Kwanini hii iwe April na ile iwe May?
 
Mchujo wa kwanza itabd uwe wilayani baada ya kuchambua na kupata qualified watamalizia na ngazi ya mkoa. Huu utaratibu ni wa kawaida kabisa na ndio wanaoutumiaga miaka yote.
 
Mkuu asante sana.
Hivi kwa mfano mtu akiwa na degree lakini akatuma maombi kwa kutumia vyeti vya kidato cha sita (akiwa na malengo ya kupunguza competition) halafu baadae akaja ku present vyeti vya degree baada ya kumaliza mafunzo, kuna effect yoyote inaweza mkuta mtu huyu?
 
Huku wilayani na mkoani ni mchujo wa awali tuu, unapofika kule kuna mfumo mwingine wa ku verify tena pia zinapokuja taasisi mbalimbali kuchukua watu hawaangalii mchujo wa wilayani bali vyeti ulivyonavyo kwa wakati huo.
Kwa maana hiyo waweza tu tumia nadhani kuungilia ukifika kule unafunguka.
 
Poa mkuu asante sana.
Nikushukuru pia kwa kunipa mwangaza juu ya haya yaliyokuwa yakinitatiza.
 
muulize kijana wako hivi simu ya usaili WA magereza alikimbilia wapi?AC kwa mtabila,ziwani kwa bulombora ama,mtoni nduta kwa kanembwa.magereza wamekuja hadi wanabembeleza vijana hawataki jufanya usaili asikudanganye huyo kijana wakona usaili ulihusu op zote mbili miaka hamsini ya jkt na miaka hamsini ya muungani

aiseee babayangu kijana wangu alikuwa hana vigezo walitaji vijana waliomaliza kidato cha4 mwaka 2011 na kijana wangu ni la masela darasa la saba yy alitoka njee akaenda kibondo
 
Mkuu mkubwa 21,
tafadhali pitia post ya mkuu shefwaa hapo juu ina maelezo mazuri sana.

Kama kawaida ya Jiji la Dar es salaam, watu wameshaanza kuliwa pesa zao kwa ajili ya hizi nafasi!

Toka Tangazo hili litoke (Nililiona saa sita usiku siku ya kwanza kabisa linawekwa hapa) nilimpigia simu rafiki yangu flani hivi na kumwelezea kuhusu post hizi, kumbe yeye tayari ana watu huko juu na keshatoa laki moja na keshapeleka CV.!

Kanisisitiza sana na mimi nitoe hiyo hela, mpaka sasa nimeshasita kuitoa na sitaitoa.

Kama hii nchi ishafika mpaka level za majeshi watu wanakula rushwa basi tushaenda mbali.

Nimekupata mkuu ahsante sana
 
Back
Top Bottom