JKT watangaza nafasi za kujitolea

JKT watangaza nafasi za kujitolea

Naombakuuliza jamani!
Hivi hayo Mafunzo ya JKT ni ya muda gani kulingana na taratibu zao?

Miezi sita halafu unapewa mkataba wa kaMa utachaguliwa kubaki kambini .....mkataba utachukua miaka miwili..sasa ndani ya hiyo miaka miwili ndipo halo unaweza chaguliwa kwenda kozi kwenye majeshi mpaka ajira....mkataba ukiisha na hukuchaguliwa kitaa kunakuhusu ndio hawa waliotaka kuandamana juzi hahahaha .....wazalendoooo!!!....afandeeeeee!
 
Huwa ni kawaida kwamba nafasi zote zinazoltolewa na jkt huwa ni za mfumo huu huu wa kujitolea?

Vipi na wenye profession zao?

Wamechukuliwa madaktari mwaka huu na wapo msata wanasubiri kozi ianze
 
Mkuu nimepewa data na mdogo wangu ambaye amepitia jkt last year (form 6) kanipa dondoo chache kuhusiana na salaries za hawa watu wa majeshi..

Kuna hawa wanajeshi ambao hawana vyeo kabisa (wenyewe wanajiita 'private' according to mdogo wangu) kwamba wao wanakula zaidi ya Tshs laki 8 take home na promotions kibao!
Halafu hawa wenye nyota, kwa kila nyota thamani yake ni 1 mil.
(Aliniambia sometimes walikuwa wakioneshwa salary digits..)
Mkuu unasemaje kuhusu hizo data?
zinaweza kuwa za kweli?

kweli wanalipwa vizuri lakini sio kama alivyosema do go wako coz kama ingekua hivyo mbona wanajeshi wangeringa sana kwa hao private labda uwe na professional ambayo useful jeshini otherwise utakuwa wa kawaida tu
 
Kipind hiki ukitimiz miaka 25 ukiwa umesha zama JWTZ unaruhusiwa kuwa na familia. Unaweza settle ukidhapia depo la jw kwa umri, kozi kozi zipo. Maana hata wenye familia huwa wanaacha family kwa muda na kupiga kozi then unarudi kama kawa kwa Mkeo

Kwa makadilio ni kama 2years
Wow, this is good range! Ngoja nifikirie tena.
 
kwa msemo wako huo unadhani ni jeshi la kujenga taifa au kupoteza mda.

kwa maana tulitegemea wanaokwenda jkt kuwa katika morali ya kufanya kazi kama tunavyoona picha za wachina walivyokuwa wakifanya kazi zamani na kujengewa skills ambazo wakitoka huko maisha kwao yanakuwa simple.

lakini ni hadithi za kula kwa dakika tano, kuamshwa saa tisa za usiku, kupewa adhabu wakati mwingine zisizo na mantiki ambavyo wengi wakitafakari kuwa matendo hayo mtu akiyafanya katika familia je yatajenga uzalendo katika familia au yatajenga chuki na kusambaratisha familia. sasa yasiyojenga familia kwa nini tudhani yanaweza kujenga taifa?

Hiari yako kwenda na hakuna guarantee ya ajira. Ova
 
nadhani ipo haja ya kubadili mwelekeo wa jkt, ni jambo lililowazi kuwa kukosa shughuli ya kufanya, maisha magumu au matatizo ndivyo vyanzo vya migogoro mingi.

familia yenye watu kumi lakini anayefanya kazi ni mmoja migogoro ni mingi kuliko familia yenye watu kumi na asiyefanya kazi ni mmoja. hivyo jkt sio lazima ijikite katika kufundisha watu mbinu za kijeshi bali jkt inaweza kujikita katika kufundisha watu kazi au kuwatengenezea watu kazi.

ukitaka kujua ukweli ni chukua mtaa wenye vijana wengi wasio na ajira wape mafunzo ya kijeshi au mazoezi ya kujenga miili yao alafu wababaki hawana ajira uone matokeo. au chukua mtaa wenye vijana wasio na jira wape mbinu za kazi na kuwazoesha kufanya kazi. sijui ni mtaa gani utakuwa na amani?

tutafakari upya tunachokifanya jkt kama kweli kinaendana na jina la chombo hicho.

Jipange kisaikolojia for the worst huku ukiomba for the best
 
Miezi sita halafu unapewa mkataba wa kaMa utachaguliwa kubaki kambini .....mkataba utachukua miaka miwili..sasa ndani ya hiyo miaka miwili ndipo halo unaweza chaguliwa kwenda kozi kwenye majeshi mpaka ajira....mkataba ukiisha na hukuchaguliwa kitaa kunakuhusu ndio hawa waliotaka kuandamana juzi hahahaha .....wazalendoooo!!!....afandeeeeee!

Ila vyeti si wanapewa?

Halafu hawa walioandama wana viwango gani vya elimu?
 
for what ? kwa maana mimi ninachotaka uonyeshe faida za jkt kwenye jamii na sio propaganda.

leo hii tuna jamii ya watu kutoa asia wameendelea kuwa na maisha mazuri kwa mafunzo ambayo wanajengeana mtoto mdogo tangu akiwa mdogo anafundishwa biashara na matokeo yake ni jamii yote kujua ujasiriamali.

tulichotegemea kutoka jkt ni kama mnafundisha kilimo ni kuona vijana waliotoka jkt wakileta mapinduzi ya kilimo.

kuna picha hapa zimewekwa za watu wakipita kwenye tope hivi unieleze katika maisha yangu kupita kwenye tope kunisaidie nini? au nitamani kupita jkt kwa zuri lipi nililoliona kwa waliotoka huko.

products zinazotoka huko ndio tathmini ya kile mnachokifanya.

lakini tukiona vijana wanatoka huko wanakuwa wajasiriamali wa kazi mbalimbali basi mtu yeyote tatamani mtoto wake aende jkt lakini kama ni kutoka huko labda ujiunge na majeshi au kuajiriwa katika makampuni ya ulinzi.

mnaouwezo wa kuiboresha jkt ikasaidia jamii lakini si kwa kuangalia makaratasi yenu yanasema faida zake ni zipi bali kwa kuangalia mafunzo haya yana faida gani katika jamii.

Mkuu umepitia JKT……?
 
ego;

Kwanin huseme hakun umuhim wakati haupo well informed kwa yanayo tokea huko…? Kuw open minded ukitaka julishwa kitu.

Umeanza kuw biased mapema, sana
 
Last edited by a moderator:
jambo la kutambua kumfundisha mtu kilimo si kumpa eneo kubwa la kilimo. na hilo ndilo wengi wanalofanya. kilimo kinaanzia kwenye kufanya maamuzi ya ni kitu gani ulime kwa kuangalia soko, kuangalia hali ya hewa na mazingira, kilimo kinakwenda mpaka kwenye umuhimu wa matumizi ya mbole, jinsi ya kutafuta masoko na kufanya maamuzi kutokana na matokeo jumla ya msimu uliopita kwa ajili ya msimu unaofuata.

swala kama hili la kilimo tulitegemea jkt mfano kushirikiana na SUA au kutumia wataalamu ili vijana wapate mbinu zote na wazifanyie majaribio. lakini wengi wanasema kinachofanyika ni kulima eneo kubwa basi kwa maana mnaweza kuwa mnatengeneza vibarua wazuri wa kwenye mashamba kwa maana wana uwezo wa kulima eneo kubwa lakini si wakulima kwa maana hawana elimu ya kilimo kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Serikali ni system mkuu. Ukilielewa hili utapata maana nyingi sana.

HINTS:
Systema inatengenezwa na sekta nyingi nyingi na kila sekta inawajibu na kazi yake...

Nchi ikiwa na wanasiasa, au wachumi peke yake, au madaktari pekeee hiyo si nchi iliyo kamilika.

Mawazo yako yapo kwenye kujenga uchumi directly ila jua kuna tactics.huweza tumika kujenga uchumi na Taifa indirectly na kuleta positive impact kubwa tu.
 
Ndio maana jkt wanataka watu wa #kujitolea , hilo neno nafikiri linabeba uzito kidogo wa dhana ya jkt. Sidhani kama hawa vijana wa kujitolea wanakwenda huko kupewa mafunzo ili wawe wakulima wazuri au wajasiriamali wazuri. Zamani watumishi wote wa umma ilikuwa ni lazima wapitie huko, kwa nini sasa? Pengine dhana ya msingi ya jkt ni kufundisha watu uzalendo.
 
nadhani bado niko kwenye majukumu ya taasisi yenu kwa maana.

taasisi yenu inaweza kutekeleza wajibu wake kwa kukabiliana na matatizo yanapokuwa yamekwisha tokea au ikajikita katika kuzuia matatizo hayo kabla hayajatoea.

hivyo nimekwambia njia ninayopendekeza inalenga kuzuia matatizo kabla hajatokea kwa kuangalia matatizo tuliyonayo na kuyaona yanaweza kutupeleka kwenye matatizo hivyo badala ya kuyasubiri kwa nini tusiyazuie mapema.

nadhani hilo bado linakuwa liko kwenu na ukiangalia SUMA JKT ina malengo gani ?

Serikali ni system mkuu. Ukilielewa hili utapata maana nyingi sana.

HINTS:
Systema inatengenezwa na sekta nyingi nyingi na kila sekta inawajibu na kazi yake...

Nchi ikiwa na wanasiasa, au wachumi peke yake, au madaktari pekeee hiyo si nchi iliyo kamilika.

Mawazo yako yapo kwenye kujenga uchumi directly ila jua kuna tactics.huweza tumika kujenga uchumi na Taifa indirectly na kuleta positive impact kubwa tu.
 
Yah ni kweli, ila ukirejea tangazo lao walilolitoa mwishoni mwa mwaka jana walitoa angalizo. Kwamba kwenda JKT kujitolea co ndo kwamba watakuhakikishia ajira. Yawezekana uhitaji wa hayo majeshi ukawa ni mdogo kuliko watu walioko jkt, (demand kubwa kuliko supply) hapa watu wa uchumi watanielewa.
Kwa hapo sasa wenyewe na taratibu zao ndo watakaoamua mkuu.

Mkuu supply kubwa kuliko demand
 
nadhani bado niko kwenye majukumu ya taasisi yenu kwa maana.

taasisi yenu inaweza kutekeleza wajibu wake kwa kukabiliana na matatizo yanapokuwa yamekwisha tokea au ikajikita katika kuzuia matatizo hayo kabla hayajatoea.

hivyo nimekwambia njia ninayopendekeza inalenga kuzuia matatizo kabla hajatokea kwa kuangalia matatizo tuliyonayo na kuyaona yanaweza kutupeleka kwenye matatizo hivyo badala ya kuyasubiri kwa nini tusiyazuie mapema.

nadhani hilo bado linakuwa liko kwenu na ukiangalia SUMA JKT ina malengo gani ?

Mkuu ego umeweka comment zako vizuri sana, nimefatilia toka post yako ya kwnza na hii nime quote! Una sera nzuri za kuweza kubadilisha hii taasisi na kuifanya iwe productive katika kujenga nchi na uchumi na sio kukomaa tu na uzalendo!

Impact ya mafunzo kubase kwenye operations zaid za kijeshi sio wakati wake huu ukizingatia hakuna uhakika wa kuwapatia ajira wahitumu wote! Wange base kuwajenga kwenye skills za maisha na uchumi kwa njia ya ueledi na si kilimoo kama. Adhabu au kupima nguvu zao kulima kama trekta! Walime kwa utaratibu na kuwekewa mashamba darasa ndio tutapata mapinduzi sahihi ya kijana!

Tatizo hapa ndugu yangu ego utapoteza nguvu nyingi kuweka sera zako hapa, but who care? Fata chanel sahihi peleka huu muongozo wako utafanyiwa kazi hapa mitandaoni watu wanajivika rank tuu na kuongea yalio juu/nje ya mipaka yao.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
aiseee babayangu huko jkt sifa ni kutoboa mkataba unapiga fatiki miaka miwili pamoja na kulima kwa miaka miwil ndio unaza kufikiriwa kuajiria na kama ndio mwenzangu na mimi darasa la 7 unaongezewa miez 6 bila posho
 
Back
Top Bottom