Mkuu
ego umeweka comment zako vizuri sana, nimefatilia toka post yako ya kwnza na hii nime quote! Una sera nzuri za kuweza kubadilisha hii taasisi na kuifanya iwe productive katika kujenga nchi na uchumi na sio kukomaa tu na uzalendo!
Impact ya mafunzo kubase kwenye operations zaid za kijeshi sio wakati wake huu ukizingatia hakuna uhakika wa kuwapatia ajira wahitumu wote! Wange base kuwajenga kwenye skills za maisha na uchumi kwa njia ya ueledi na si kilimoo kama. Adhabu au kupima nguvu zao kulima kama trekta! Walime kwa utaratibu na kuwekewa mashamba darasa ndio tutapata mapinduzi sahihi ya kijana!
Tatizo hapa ndugu yangu
ego utapoteza nguvu nyingi kuweka sera zako hapa, but who care? Fata chanel sahihi peleka huu muongozo wako utafanyiwa kazi hapa mitandaoni watu wanajivika rank tuu na kuongea yalio juu/nje ya mipaka yao.
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums