JKT wakanusha kutokea vifo katika mafunzo

JKT wakanusha kutokea vifo katika mafunzo

Nimeangalia kwny pdf ya jkt 19 May 2014 awamu ya kwanza sijaona jina la honoratus uiso. Majina yote yapo kwny Jeshi la Kujenga Taifa na hakuna jina hilo. Tujaribu kupost vitu halisi maana wengine tuna watoto huko.

mkuu mm nakushauri ww kaa kimya muombee tu huyo ndg yako amalize salama.
Humu jf watu wanazusha uongo balaa hyo jkt haijaanza leo imeanza tangu uhuru lakn hatujawahi kusikia uzushi kama wa kipindi hiki.
Yaan watanzania wa kizazi hiki kila kitu ni kulalamika tu ndio maana tupo nyuma kimaendeleo kwasababu tunataka urahisi bula kuvuja jasho.
Tutambue lile ni jeshi na jeshi si lelemama pale kunatakiwa ushirikiano, uvumilivu na utimamu wa mwili kuna mazoezi magumu hvyo inatakiwa mtoto awe active kweli.
Suala la kulalamika kuwa kuna vifo hilo sio la kulaumu kifo kinaweza kutokea kama ambavyo hutokea sehem nyingne kama shulen,chuon au hata hospitalin.
Yaan sasa hvi raia wamekua walalamishi mpaka kero
 
namuombea Sana Mungu amuepushie na hayo majanga....

asikutishe mtu jkt haipo kama unavyosikia maneno ya watu walio humu wamejengwa na iman za woga na kuogofya wengne pamoja na kuwakatisha tamaa watu wengne.
Mm nmepitia jkt, suala la vifo hilo lisikupe shida hakuna kitu kama hicho. Kifo kinaweza kutokea kama ambavyo hutokea huku uraian kwa bahat mbaya.
Tena hawa hawakeshi.
Jambo la msingi ni kumtia moyo mdogo wako asiwe mlegevu wala asiwe kimbelembele sana.
Kawaida ya jkt huwa wanachukuliwa vipimo wote wale wenye matatizo ya kiafya huwa hawapewi kazi ngumu na mazoez magumu.
Watoto wa siku hizi walio wengi ni mayai hvyo akipewa mazoez mfululizo lazma waanze kulalama.
 
Hata kama ni kweli hawawezi kukubali kiurahisi hivyo. Huko Sirari pia polisi waua raia na wahusika wanashikiliwa na jeshi hilo la polisi.
 
Hao kuruti kukesha mbaka asubuhi ni part ya military training

Sleep deprivation kwa recruit inamjengea uvumilivu,umakini na ujasiri wa ajabu

Pia katika battlefield mapigano yanaweza kuendelea zaidi ya masaa 24 mfululizo,kutolala kwa kuruti kunamzoesha hiyo hali kama vita ikitokea
 
Hao kuruti kukesha mbaka asubuhi ni part ya military training

Sleep deprivation kwa recruit inamjengea uvumilivu,umakini na ujasiri wa ajabu

Pia katika battlefield mapigano yanaweza kuendelea zaidi ya masaa 24 mfululizo,kutolala kwa kuruti kunamzoesha hiyo hali kama vita ikitokea

well said.
Kuna watu humu wanalalamika utafikir sio wanaume. Mda wote ni kulialia tu duu!
 
Hizi taarifa ni kweli kabisa. Kifo kimetokea pale oljoro. Kupeleka watoto jkt ni vyema ila inatakiwa wapimwe afya na maafande waache kuwapa dozi nzito. Watoto wa siku hizi chips kuku daily, so delicate.
 
Mtoa Uzi pamoja na wanajamvi tunaochangia katika Uzi huu tukumbuke kuwa jkt ni ya watanzania na ipo kwa ajir ya watanzania, ina wakufunzi wa watanzania wenye weredi wa ukufunzi.hakuna sababu ya sis kulaumu kwa maneno yanayosemwa mtaani tu.jamani kuwa mzalendo c lelemama haya mambo wanayofanyiwa huko makambini ni mageni kwao na ndo maana wanayaita mateso.lazima tuambizane tu wazazi wenzangu ambao tuna watoto jkt kuwa zimeshapita intake nyingi ikiwemo ya wabunge na wakajione yanayofanyika huko kama ingekua ni mabaya sizani kama wangeacha kutete swala hill.naomba tuwe na subira watoto wapate uzalendo
 
Vifo vipo wasitake kutufumba macho,mwaka jana ruvu aliokotwa mmoja akiwa amekufa nje ya kambi mazingira aliyopatikana japo alishaharibika ni kama aliuawa kisha akatupwa,mpaka sasa post mortem report inasubiriwa
 
honoratus jina la kiume...angalia kama kuna honorata ndo pacha wa jina hilo, hayo ni majina ya kilatini kama romanus,romana,,,beatus,beata etc

Pota, hakuna mtu yeyote aliyekufa JKT. Ninuzushi na sijui nini nia ya baadhi ya watu. Tumeingiliwa na magubegube wasio wa tz. Kuna wajanja wanataka tuvurugikiwe na amani hapa nchini. Ipo siku tutawasaka mchana kweupe.
 
kosa nililofanya sikumuuliza kuwa aliyekufa ni mwanafunzi aliemaliza shule ipi na alkuwa akitokea wapi kimakazi ila ntajaribu kupaste mazungumzo yalivokuwa..ninarusha alizonitumia tu ili kuokoa muda na nafasi nisiwachoshe wanajamvi kusoma maelezo marefu .. nimemuliza mbona kawa kimya???:
majibu..Uku kwema. . .me sna phone. . .na2mia 2 simu za watu wengne

nikamuuliza hali ya huko....
majibu: Uku hamna zaid tu ya watu kuumwa sana. .juz kati 2memzka mdada na watu kama wawl wamechanganykiwa.
.
nikamuuliza viongozi wanalionaje hilo au wanajibu nin
majibu...Viongz wanasema uku kufa kawaida na m2 akfa cku yake imefka

nikamuuliza yey binafsi anaish vip mana ana tatizo la kuishiwa damu
majibu...namshkr mungu kwa hlo hawanipi kazi nzito. . .haya kwaher nlikuwa nakusalim nardsha sim kwa mwenywe
mwisho wa maongezi

maongezi haya si ya kutunga ni ya ndugu yangu yupo oljoro arusha na hizi text tumechat jana

Huu ni moja ya uongo na kuwaweka watu roho juu. Na kama kuna mwanafunzi mgonjwa yupo kambi yyt tofauti na ruvu basi ni uzembe na upuuzi. Mtandao wa JKT umewaelekeza wanafunzi wote wagonjwa kwenda Ruvu JKT, ww unatudanganya. Tupe jina la mtoto wako hapa. Nimemtafuta mkuu wa Oljoro, anaitwa Myalla na hakuna kitu km hicho.
 
Huu ni moja ya uongo na kuwaweka watu roho juu. Na kama kuna mwanafunzi mgonjwa yupo kambi yyt tofauti na ruvu basi ni uzembe na upuuzi. Mtandao wa JKT umewaelekeza wanafunzi wote wagonjwa kwenda Ruvu JKT, ww unatudanganya. Tupe jina la mtoto wako hapa. Nimemtafuta mkuu wa Oljoro, anaitwa Myalla na hakuna kitu km hicho.

Lkn yule afande alikiri kutokea kwa kifo hicho na kueleza sababu ni upungufu wa damu uliotokana na kuugua malaria kwa muda mrefu...sasa rasta nakuona unabisha tu yaani we unabisha tu...
 
Lkn yule afande alikiri kutokea kwa kifo hicho na kueleza sababu ni upungufu wa damu uliotokana na kuugua malaria kwa muda mrefu...sasa rasta nakuona unabisha tu yaani we unabisha tu...

Afande yupi? Una maana ya msemaji wa TPDF luteni kanali Erick Komba? Hebu weka hapa audio tusikie.
 
Hebu tupeni jina la marehemu, shule aliyotoka na eneo alilotoka jamani maana hadi sasa hatujui ni nani. Wote wanasema kuna kifo lakini cha nani haisemwi na JKT wamekana.

nimesikia muda huu clouuds wamesema anaitwa Honoratha Woisso from Rombo kilimanjaro.kifo kimesababisha na upungufu wa damu pia alikuwa na maleria.
Macho ya bwana yanaona kila mahali hakuna pa kujificha.
 
Afande yupi? Una maana ya msemaji wa TPDF luteni kanali Erick Komba? Hebu weka hapa audio tusikie.

Jamaa mbona mkali sana au u mkufunzi...? Anyway tulionywa kutoliandika jeshi letu
 
Kuifuta sio dawa coz kila MTU kaandikiwa kifo haijalishi wapi,tatizo wengine hulazimisha kujiunga licha ya kuwa wagonjwa
 
Kumbe jf imekamata mpaka watu wa jeshi wanasoma humu na kwenda kukanusha kwenye media zingine? Pole zao ila uuaji wa raia si uungwana.

umeona jf ni zaidi ya bbc ila
mwizi hata akikamatwa anaiba hakubali ng'odo
 
kifo kipo mahali popote..................Ni kawaida tu.........................
 
Jamaa mbona mkali sana au u mkufunzi...? Anyway tulionywa kutoliandika jeshi letu

Acha kunizushia mkuu, mimi ni mkufunzi wa mtaani kwetu, ila wanaotoa story zisizo na miguu ndo tatizo. Nimeshaupata ukweli. Tatizo la hii jamii inawaona wanajeshi km nchi nyingine, afu wakisikia nafasi ndo hao hao wanapita huku n huku wakitoa hongo ili watoto wao wapate ajira.
 
Back
Top Bottom