- Thread starter
- #81
ok.tuliza munkari mkuu jkt ni mafunzo mazuri kwa vijana kuna kasoro ndogo za kurekebisha pia kuongeza bajeti ili kuwa modernized
Hiyo bajeti ikiongezwa je itaweza kuondoa ubakaji?itaondoa udharirishaji?itaondoa ukandamizaji?
ok.tuliza munkari mkuu jkt ni mafunzo mazuri kwa vijana kuna kasoro ndogo za kurekebisha pia kuongeza bajeti ili kuwa modernized
Niambie ni stadi gani au ufundi gani wanafundisha jkt wa kujitegemea au kujiajiri. Nitajie hizo stadi.
Serikali haikupi mafunzo ili ikuajiri bali ni kukufundisha stadi mbalimbali za maisha na kukufundisha namna ya kuweza kuishi katika kila hali
Yaaani kunyumbulika.
Ila akili za wabongo zinawaza kuajiriwa tyy
Na jeshi halifundish uchafu coz hiyo nguo moja unayopewa ole wako ikutwe chafu.
Tuko wote katika hoja hii!. Naona serikali ina nia njema ila sasa watu waliowekwa kusimamia JKT ndo wanaharibu kwa kufanya mambo yasiyo ya kiungwana. Sasa tunafundisha vijana au tunawatesa vijana?.
Mwisho wa siku mtu akitoka huKo anakuwa na machungu dhidi ya serikali, nchi na saa zingine hata wananchi wenzake badala ya kuwa na huo uzalendo wanaousema!.
Be Good!
JKT ni sahihi zaidi tukisema Vijana wetu wanajumuishwa pamoja wanajenga Umoja na Undugu. Uzalendo haujengwi JKT. Ni ushauri wangu kwa Vijana waende huko hakuna jambo lolote la kutisha wala kuogopesha. Ni aibu kijana wa kiume kuonyesha uwoga wako kiasi kwa kuja na hekaya za uwongo eti JKT ni mateso.
Hata baadhi ya mataifa makubwa yaliyo endelea ni lazima vijana wao waende mafunzo kama haya kwa mwaka mzima. Tufike mahali ajira zetu Serikalini na Taasisi zake kama TRA,BOT,TCRA,PPF,nk. sharti moja wapo iwe ni kupita mafunzo ya JKT!
Mnanitisha sasa! Ule mzuka wa kwenda JKT unaanza kupata msukosuko ....Napenda kwenda kufanya mafunzo hayo japo nshakuwa kazini Kwa miaka 4 sasa ....ila kwenda kuwa hawara ya mkufunzi naogopa sana bora nipewe kazi Ngumu
Tatizo ni jku(jeshi la kujenga ubakaji),ni serikali ya mwenda wazimu ambayo inaweza kupoteza pesa kwa kutoa mafunzo ya ubakaji,ubakwaji,ukandamizaji na udharirishajindugu hata ulalamike watu hela wanapiga na dada zenu wataliwa tu hamna namna mbona vyuoni hata mtaani wanaliwa sana au tatizo kuliwa na wajeda labda hilo ndio tatizo
hakika watanzania hatupaswi kukurupuka ktk hili jkt ni chombo pekee kitakachofufua uzalendo tuulize tuliotoka huku km tuna
1:element za udini tofauti na secondary schools
2:uvumilivu na ustahimilivu tofauti na zero tolerance in our society
3:ushirikiano km silaha ya mafanikio
4:discipline in all sphere of life
5:ukakamavu phisically n mentally
6:KULINDA Tanzania by any means n any cost...............etc....
hivo hapaswi mtu yeyote kudharau jitihada hz za serikali
NB:1-miundombinu iboreshwe
2:code of ethics izingatiwe na wakufunzi
3;kunahaja kuelimisha wananchi umihimu wa jkt
hakika watanzania hatupaswi kukurupuka ktk hili jkt ni chombo pekee kitakachofufua uzalendo tuulize tuliotoka huku km tuna
1:element za udini tofauti na secondary schools
2:uvumilivu na ustahimilivu tofauti na zero tolerance in our society
3:ushirikiano km silaha ya mafanikio
4:discipline in all sphere of life
5:ukakamavu phisically n mentally
6:KULINDA Tanzania by any means n any cost...............etc....
hivo hapaswi mtu yeyote kudharau jitihada hz za serikali
NB:1-miundombinu iboreshwe
2:code of ethics izingatiwe na wakufunzi
3;kunahaja kuelimisha wananchi umihimu wa jkt
Hiyo bajeti ikiongezwa
je itaweza kuondoa ubakaji?itaondoa udharirishaji?itaondoa
ukandamizaji?
JKt ni ubadhirifu wa mali ya Umma,mafunzo yanayotolewa yangeweza kutolewa mashuleni,yaunganishwe na school curriculum.
Nchi yenyewe uchumi tegemezi,sasa; kwaninil matumizi yasiyo ya lazima yaepukwe?
Nisaidie kunielimisha kwa hali ya matabaka yetu ya kimaisha yalivyo ni wapi vijana wetu watakutana na kujenga daraja umoja? Shuleni na vyuoni haiwezekani kwasababu elimu yetu imetengeneza madaraja kulingana na tabaka za watu. Sasa ni wapi huko utawaunganisha hawa vijana?
mi binti yangu hakanyagi huko hata kwa dawa...dah.hizi story zinatisha sana,... Jkt ni janga