- Thread starter
- #121
Hiyo ndiyo jku iweke mbali na watotoHii ya ngono inawachafua sana JKT nimesikia wadada kadhaa wakiliongelea.Mamlaka za kinidhamu zifuatilie haya.
Hiyo ndiyo jku iweke mbali na watotoHii ya ngono inawachafua sana JKT nimesikia wadada kadhaa wakiliongelea.Mamlaka za kinidhamu zifuatilie haya.
Chuki zako na matatizo yako binafsi usiyatumie kuitukana,kuidhalilisha JKT. Usiwadhalilishe mama/dada/bint zetu waliopitia JKT kwamba wamebakwa. Kwa mtu aliye pita JKT akisoma posts zako anajua unaandika stori za kusimuliwa mitaani! JKT wanakwenda watu wazima. Waliokwenda huko wanaelewa ni mabint wa aina gani wanaishia kujirahisisha na kutembea na Maafande! Mlee mwanao vema. Asipende short cut,asipende dezo na awe fit kimwili. Hakuna atakaye mbabaisha hapa duniani!
Ambae dada yake kabakwa atoe ushuuda hatutaki uongo wa kipuuzi..nendeni jkt.. wasichana kutoa ngono ni kawaida ata vyuoni ipo..
natamani nirudi JKT op uvumilivu 834kj
mi binti yangu hakanyagi huko hata kwa dawa...dah.hizi story zinatisha sana,... Jkt ni janga