JKT ni majanga kama operesheni kimbunga

JKT ni majanga kama operesheni kimbunga

JKT waende walioko vijiweni, chukua bodaboda, machinga, na wengine waliokaa kihasarahasara peleka JKT, tena iwe ya kudumu. Hao waliofight mbaka wakatoboa form six waachwe wajiunge JKT kwa hiari. After all philosphers wanapendekeza iron boys ndo waingie jeshini. Sasa hii ya kulazimisha hadi golden boys and girls wakapalilie kwa jembe la mkono ni kuwabrain wash yote waliojifunza shule. Nimalizie kusema, JKT waende watu sahihi siyo hao wanaolazimishwa sasa.

EQUALIZATION ndiyo tunayoitaka na si zaidi ya hapo usome st. kayumba au st. john wote tutakutana kwenye battle field na huo ndiyo uzalendo Tanzania siyo ya kundi maalumu tu bali ni ya watanzania wote usiogope dogo we nenda tu si ajabu ukang'ang'ani huko kwa nje unatishika na maneno ya kijiweni tu
 
Hata mimi nashangaa sana Jeshi kufundisha uzalendo kwa kutumia UTOPIAN TACT kama za JKT , mfano kulimishwaaaa...., kukata kuni kwa kutumia panga na shoka butu ,kutokuoga ,kubiringishwa kwenye matope na vichaka vizito , eti ndo kujenga uzalendo katika karne hii ya 21, AHaaa wapi TZ tujitathmini kwa mbinu hizi za INDUSTRIAL REV.
 
Acheni uoga. JKT kuko poa sana. Unachangamshwa kidogo
 
EQUALIZATION ndiyo tunayoitaka na si zaidi ya hapo usome st. kayumba au st. john wote tutakutana kwenye battle field na huo ndiyo uzalendo Tanzania siyo ya kundi maalumu tu bali ni ya watanzania wote usiogope dogo we nenda tu si ajabu ukang'ang'ani huko kwa nje unatishika na maneno ya kijiweni tu
Hoja yangu hujaielewa. Nchi hii inavijana wengi ambao hawana kazi wala hawana tumaini lolote. Hao ndo wanastahili kwenda JKT kufunzwa uzalendo maana bila kuwafunza uzalendo ni rahis kwao kushawiwishiwa kujiunga na makundi ya uhalifu kama al-qaida na alshabab, anti baraka, joseph kony n.k. Hao ndio wanaitwa bomu linalosubiriwa kulipuka.
 
cdhani kama ina umuhmu kivile mana wote waliopitia Jkt ndo mafisadi wakubwa wa nchi kulima cjui kukimbia hakumfanyi mtu awe mzalendo uzalendo utaletwa kwa kuwa na equal distribution of resources finding new sources of getting job uwajibishwaji na uwajibikaji wa kila mmoja hapo ni ku force wanafunzi kwanza dunia ya sasa ime change we need to employ new tactics and techniques kwa nini watu hawawi wazalendo chanzo ni nini tukisha fahamu ndo tunaweza kutafta solution hivi hivi ni ngumu ila ni wastage ya kodi and resources
 
Ni bora serikali itafute njia mbadala ya kuboresha elimu ambayo itawezesha vijana kuendana na mbadiliko ya dunia kupata ushindani katika nchi za wenzetu kuliko kukaa na kung'ang'ania jkt isiyo na kichwa wala miguu
 
vijana acheni uoga jkt mtakwenda tu labda muhame nchi pu.mbaav
 
Kukaa wiki 6 kambini bila kulala,kulimishwa kuanzia asubuhi mpaka jioni,kuvalishwa nguo mbichi,kupigwa na kuteswa,je hizi ndo njia za kujenga uzalendo?kwakweli serikali imechoka kufikiri inahitaji kupewa matibabu inawezekana imepata ugonjwa wa dengue ndiyo maana wameshindwa kuwa watendaji bora
 
afu haya maswala ya ngono jeshini yansheria kali kama ilivyo vyuoni lakini vidada hufanya ili vipate ahueni hivyo hamna mlalamikaji huku tu ndio mnaolalama wenyewe wanaopigwa vidiga wako kimya
 
Mtu hafundishwi kua mzalendo,uzalendo ni asili ya mtu. Pia miezi miwili au mitatu haimfundishi mtu uzalendo. JKT ni mateso,wiki 6 bila kulala,kupalilia toka asubuhi hadi jioni kwa jembe la mkono,hakuna mda wa kuoga wala kupumzika,ni kukesha unaimba,asubuhi unaamkia kulima,daily.

Mbinu za jkt hazina nafasi kwenye ulimwengu wa sasa,zimepitwa na wakati. Wewe unamlimisha mtu kwa jembe la mkono baada ya hapo itamsaidia nini wakati kilimo cha jembe la mkono kinapigwa vita hata na serikali yenyewe,hakina tija,watu wanatumia trekta wewe una mkono utatoka lini?.

Badala wafundishe watu mbinu bora za kilimo cha kisasa wao wanawafundisha kupalilia,tena kwa kuwakomoa kupalilia mchana kutwa.

Jkt mtoto wangu hawezi kwenda labda kama amenishnda kutunza.

Hivi hiyo JKT inamsaidia nini mwanangu,
Serikali imeshindwa kuboresha elimu, hali inayotulazimu watoto kuwapeleka kwenye shule za kulipa, halafu akimaliza kidato cha sita eti serikali ndio inajifanya inamtaka sana aende JKT, huu upuuzi mimi sikubaliani nao hata kidogo.
 
Hilo nalo neno
 
Naomba muda uongezwe mafunzo yawe miezi sita migomo itaisha vyuoni
jiulize hawa mabint mnaowatetea vyuon maprof malecture wanawatafuna kinoma ili watengeneze gpa nzuri kuliwa na maafande tu mnalalamika mbona degree za chu.pi zimejaa hamzilalamikii wakileta kiherehere wanaliwa tu anaezui mwanae ahame nchi kwisha tumefunga mjadala....
 
Jeshi sio lelemama.. kama unataka kukata mauno kama diamond.. achanana na jeshi huliwezi we mkata mauno.chapa kazi wacha usharobalo
 
Nani kakwambia jeshini unaenda kupiga pamba na kubadili viwalo na kuvaa supra! kwendeni zenu wavivu wakubwa nyie!
 
Vijana naona wanapiga kelele wanadhani zitawasiadia zamani to hata maofisini ma mp waliwafuata.
 
Back
Top Bottom