Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,923
JKT yenyewe tu si kigezo cha kujenga uadilifu na uzalendo. Ili mtu aw muadilifu na mzalendo anatakiwa awe anafuata itikadi ambayo inasisitiza itu hivyo. Tunaweza tukawa na JKT ambayo inaelea katika itikadi inayoshan´bikia dhuluma, wizi na unyang'anyi-matokeo yake ni kupata majamazi.
Nilipitia JKT mwwaka 1975 wakati huo itikadi ilikuwa ya Ujamaa na Kujitegemea. Tulijengewa hisia za uzalendo na kuheshimu utu wa binadamu bila kujali dini, kabila au maumbile. Kama kuna ambao walipitia JKT wakati huo na sasa wanaelekeza tabia zingine tofauti ya zile walizofundishwa, basi hiyo ni hulka tu ya hao wachache.