Siku nane katika mkoa mmja? May be jamaa ashaanza kampeni za uchaguzi 2010 bila sisi kujua. Chadema inabidi wawe macho maana jamaa safari hii atabeba zaidi 80 % kama wasipoangalia. Vijijini huko hawajui mambo ya Richmonduli, EPA n.k. wao watakachoona rais yuko karibu nao period.
"Tuliahidi kuongeza fedha kwenye mfuko wa mbolea; wakati tunaingia madarakani ilikuwa ni Sh bilioni 7 tukaongeza ikafika Sh bilioni 21, mwaka huu tumeongeza hadi Sh bilioni 31", Rais amesema
Siku nane katika mkoa mmja? May be jamaa ashaanza kampeni za uchaguzi 2010 bila sisi kujua. Chadema inabidi wawe macho maana jamaa safari hii atabeba zaidi 80 % kama wasipoangalia. Vijijini huko hawajui mambo ya Richmonduli, EPA n.k. wao watakachoona rais yuko karibu nao period.
Siku nane katika mkoa mmja? May be jamaa ashaanza kampeni za uchaguzi 2010 bila sisi kujua. Chadema inabidi wawe macho maana jamaa safari hii atabeba zaidi 80 % kama wasipoangalia. Vijijini huko hawajui mambo ya Richmonduli, EPA n.k. wao watakachoona rais yuko karibu nao period.
wao wanajua kupost tu,hawajui kama mkoa huu uko kwenye mkakati wa kugawanywa na kutoa mkoa mwingine. mzee Mwinyi alisema binadamu ni watu wa ajabu sana wakiwa na njaa tabu na wakishika ni kelele.Iringa ni moja ya mikoa mikubwa kijiografia na pia ina wilaya nyingi nadhani kama anatumia siku moja moja kwa kila wilaya ni sawa.
Kwanini usiseme Cuf au Chausta? wewe chama ni chadema tu, hujui kama ni NGO hadi marehemu Wangwe anafariki anajua na amekufa na kinyongo akiona anaongoza chama ambacho ni NGO ya wachagga.Siku nane katika mkoa mmja? May be jamaa ashaanza kampeni za uchaguzi 2010 bila sisi kujua. Chadema inabidi wawe macho maana jamaa safari hii atabeba zaidi 80 % kama wasipoangalia. Vijijini huko hawajui mambo ya Richmonduli, EPA n.k. wao watakachoona rais yuko karibu nao period.
Cant win! akienda nje ziara zimezidi, akitembelea mikoa kampeni. Kazi kweli kweli
Iringa siku nane, Mbeya vipi?
Naam wala hujakosea. Inaelekea huu ni mwanzo wa kampeni za 2010 na pia kuondoa malalamiko kwamba msanii anafanya ziara nje ya nchi zaidi kuliko ndani ya nchi. Alianza ziara yake Singida, akaenda Tanga sasa yuko Iringa. Inaelekea hii ziara ni ya Tanzania nzima ambayo anaweza kuikamilisha mapema mwaka ujao.
Inaelekea hataki tena kufanya ziara zaidi ya mkoa mmoja hivyo kila baada ya kuzuru mkoa mmoja inabidi arudi Dar na baada ya muda kuendelea na ziara katika mkoa mwingine au akiweza basi ajipangie kitrip mmoja cha nje ya nchi. Kama sikosei anatakiwa kuwa US mwezi huu kwa mwaliko wa kichaka, hivyo basi labda baada ya Iringa atakuwa anajiandaa na katrip kangine kwenda kumuaga 'rafiki' yake na anaweza pia kuongeza katrip ili apitie Paris kwenda 'kuangaliwa' afya yake.