JK's 8 Days Iringa Tour

Nafikiri JK angekuwa more productive kama angezitumia siku hizo 6 ofisini kwake Ikulu Dar akishughulikia na kutolea solutions matatizo yanayowa-affect wadanganyika wengi ambayo amekuwa akipigiwa sana kelele kwa kuyawekea vigugumizi visivyo na msingi wowote, kama vile EPA, Listi ya Madawa ya Kulevya, Kiwira, BOT na kadhalika. Kuandaa ziara wakati kuna sufuria likichemka jikoni haku-make any sense.
 
anajidanganya tu kuhusu mambo muhimu kama EPA na mengineyo lazima atayatolea tu maamuzi awe anapenda ama hapendi , safari hii rafiki zake wanaomsifu wamegoma kutoa pesa lazima atajitosa tusubirie muda tu, hakikia mheshimiwa lazima achague kusuka tuuuuu
 
Naogopa Kusema Lakini Labda Imenibidi Baada Ya Kuona Hli Halisi Ahapa Tz Jamani Ni Ya Kusikitisha Vitu Ni Ghali Kupita Kiasi Maisha Ni Maumu Si Mchezo Nauli Ni Hatari Hata Uwe Na Gari Petrol Ni 2500..sasa Katika Ushauri Wa Haraka Na Kutokana Na Exp Ya Viongozi Wanaojiuzulu Na Wengine Kurudi Tutakuwa Tunarudisha Pumba Zile Zile..raisi Kama Mumeshindwa jiuzulu tu Basi Jamanni Tutafute Nyingine Kwanini Hivi Yule Mwanao Anaishi Kama Yuko Peponi Na Sasa Hivi Kaona Aibu Kutumia Magari Ya Kuhongwa Na Wafanyabiashara Amejifanya Kukimilia Baloon!!!we Nenda Waache Watoto Wako Tuhngaike Nao

Unaenda Kuwasanifu Wazee Wetu Vijijini Mungu Atakupiga Kofi Bora Ukakae Na Mama Salma Au Kale Kangast Chako Cha Uarabuni Kuliko Kuwasanifu Wazee Wetu Ambao Wengine Kutokana Na Maisha Magumu Hatujaenda Hata Kuwasalimia Wewe Na Viongozi Wako Wahuni Wanajifanya Kwenda Kusalimia Babu Zetu Tunawaambia Wakome Na Komeni...kupigwa Picha Na Bibi Kize Si Dili Konyesha Maisha Ya Tanzania Kupata Msaada

Kila La Kheri Natumaini Utaliangalia Wazo Langu

Wako

Raisi Mtarajiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom