JK Uso Kwa Uso Na Joyce Banda - Malawi

JK Uso Kwa Uso Na Joyce Banda - Malawi

Cheap popularity? Unakodolea macho kwa mwenzako wakati kwako kunateketea. Unayajua yanayoendelea Mtwara?
Umesikia kushamiri kwa biashara ya madawa ya kulevya? Cheap popularity indeed!

wajinga ndio waliwao, heri sisi tatizo linajulikana kuliko nyie ambao hamjijui kama mnashida zaidi ya kupumbazwa na siasa mufilisi za kikabila za dikteta kagame! ninani asiyejua hamna uhuru wa vyombo vya habari rwanda? vyombo vya habari vya rwanda vinatoa habari za upande mmoja tu na hata hivyo zinatiwa chumvi kupitiliza na ndiyo maana ukweli unapojulikana inakuwa ngumu kumeza! rwanda kunamateja wakufa mtu, mauji ya kikabila na kwa wakosoaji wa kagame!
 
Kikwete ana kipawa fulani cha ajabu sana, laiti wakati anaingia madarakani asingeteua mawaziri kishkaji na angekuwa mkali kwenye rushwa na ufisadi, angekuwa booonge ya Rais kuwahi kutokea Tanzania. Kwasababu angelipata ushirikiano sana kwa watanzania na uzalendo ungelipanda maradufu. Hongera zao.
 
TZ tunapenda Ujirani mwema kwa kweli.
Ukali wetu, wanatuchokoza tu wenyewe.

ila mimi kwa hatua aliyofikia kagame amepoteza sifa za ujirani mwema, naona tunachelewa kumfundisha jinsi ya kuishi ya majirani. Na sidhani kama raisi wangu ataweza kukubaki kushake mkono na muuaji wa mchana!
 
Najivunia kuwa mtanzania na najivunia kuwa chini ya mh Jakaya Halfani Mrisho Kikwete. The bestever in my Country history.
 
Najivunia kuwa mtanzania na najivunia kuwa chini ya mh Jakaya Halfani Mrisho Kikwete. The bestever in my Country history.

JK afanye mpangoa wakutane na kagame wayamalize bana sisi hatutaki mabifu bifu
 
wajinga ndio waliwao, heri sisi tatizo linajulikana kuliko nyie ambao hamjijui kama mnashida zaidi ya kupumbazwa na siasa mufilisi za kikabila za dikteta kagame! ninani asiyejua hamna uhuru wa vyombo vya habari rwanda? vyombo vya habari vya rwanda vinatoa habari za upande mmoja tu na hata hivyo zinatiwa chumvi kupitiliza na ndiyo maana ukweli unapojulikana inakuwa ngumu kumeza! rwanda kunamateja wakufa mtu, mauji ya kikabila na kwa wakosoaji wa kagame!
Kaka/dada,
Afadhali Rwanda wanajua hawana uhuru wa habari. Tanzania tunajidai tuna uhuru wa habari lakini Mwanahalisi likiandika ukweli ulioiacha Ikulu uchi linapigwa marufuku. Unashutumuje kwa mwenzako wakati na kwako kunateketea pia? Ondoa kwanza boriti jichoni mwako.
 
unamatatizo makubwa.
 
==>> Hako kamama kauzu banda...kashanusa moto...AKICHEZA TU NA TZ TUNAPIGA....afu tunachukua ziwa lote na yy tunamfukuza urais...
==>> Hatutaki mchezo tena na nchi yeyote ile.... wakiwa marafiki sie pia ni rafiki...wakileta za mkizi...tunawavua na kuwachoma... kimenuka..ila .sio manukato...
 
sioni cha watanzania kujisahau na kuona ya Mawalawi yamekwisha..hii issue ni generational..Na Banda akiona kuna vitu havijakaa sawa ata hibernate na kumwachia ajaye majukumu.

Tusubiri mkutano uishe halafu ndipo tuanza hizi perepeche kuwa sijui wamepokelewa vipi..Hata Ahmedinejan hupokelewa new york km rais
 
kuwa na chombo binafsi cha habari kisichokuwa na mfungamano na serikali na kuwa huru kuandika habari ambazo wahariri wanaziamini bila kufuata maelekezo ya watawala ni mafanikio makubwa sana ya uhuru na demokrasia hapa kwetu TANZANIA! vyama vya upinzani ,wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuwa huru kuikosoa serikali na viongozi wake pale wanapokosea ni mafanikio makubwa sana ambayo kwa rwanda chini ya kagame kuyafikia ni kiama! Maana ni kiongozi asiyependa haki na kukosolewa hata pale anapokosea waziwazi, huku wajinga anaowaongoza bila kuhoji wanafurahia binadamu wenzao wakichinjwa kama kuku mkidhani mtakuwa salama! mchuma janga hula na wakwake! nitajie chombo chochote cha habari kinachodhubutu kuandika kinyume na matakwa ya kagame hapo kigali, rwanda wapinzani hawana sauti mfano mzuri Bizimungu! endeleeni na upumbavu wenu wa kucheza ngoma hata kabla haijapigwa, muda si mrefu kwa arrogant hizi, tutawashuhudia tena mkibeba nikeka na mifuko ya rambo kuomba ukimbizi, shame upon you!
 
Picha namba 3, 4 na 12,Mkulu anapiga sana mazoezi ya Chuma ama ni Bullet-Proof Vest ndio imemtunisha hivyo..??
 
nadhani siku akikutana na Kagame itakuwa tofauti kidoogo,nathani.
 
attachment.php

I wish tungekuwa tunaishi hivi siku zote, kwa nia nzuri za dhati kabisa!
Haha... ujirani mwema kweli kweli.
 
ila mimi kwa hatua aliyofikia kagame amepoteza sifa za ujirani mwema, naona tunachelewa kumfundisha jinsi ya kuishi ya majirani. Na sidhani kama raisi wangu ataweza kukubaki kushake mkono na muuaji wa mchana!

Mkuu unaoneka una chuki Binsafsi na Kagama, Mtu ambaye hata Humjui, na hiyumkini, hujawahi Kumtia Machoni.
Hivi hukuwa unayajua haya Before Kauli za Kagame dhidi ya JK ama ???
Maana kama ungekuwa unayajua haya Before ungeyasema, acha unafiki Mkuu
 
mbona hueleweki
 
Back
Top Bottom