engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Nacho mpendea mzee wetu kikwete ni kwamba huwa hana makuu.
usiombee akasirike!Huyu Jamaa yupo Peace sana.
anafikiri jk anatishwa na wajeda! hajui bongo ndiyo wamejaa nini?Joyce bana! Sasa Wajeda wote hawa wa nini?
![]()
Kagame amekukosea nini? Kikwete ameua wangapi?I wouldn't recommend our president to meet that blood sucker! Rwandans are, and shall remain to be our neighbors forever, but to meet Kagame regime NO! Kagame akipita tutaweka mambo vizuri na ujirani mwema utaendelea kuwepo tu. La msingi Kagame aondoke kwanza.
I'm eagerly waiting to see the same when JK, will meet Kagame.
Kagame amekukosea nini? Kikwete ameua wangapi?
Mama anaonyesha kuwa na wasiwasi na JK sana!Joyce bana! Sasa Wajeda wote hawa wa nini?
![]()
Wanafiki wamekutana/
acha unafiki, unajifanya haujui kinachoendelea ndani ya rwanda na DRC? ni mauaji ya halaiki dhidi ya binadamu wasiokuwa na hatia hata kidogo kwa uchu wa madaraka, cheap popularity, ukabila, na uhuni uliopindukia.