JK Uso Kwa Uso Na Joyce Banda - Malawi

JK Uso Kwa Uso Na Joyce Banda - Malawi

Superman

R I P
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,707
MALAWI+2.jpg


MALAWI.jpg


Hotuba ya Rais Joyce Banda wakati anafungua Mkutano hii hapa:
http://www.scribd.com/doc/160844498...cy-the-President-SADC-Summit-Official-Opening

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania akilakiwa na Rais Joyce Banda wa Malawi muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimatafifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC

8E9U4456.jpg


8E9U4461.jpg


8E9U4480.jpg


8E9U4488.jpg



President Kikwete arrives in Malawi to attend the 33rd Heads of State and Government SADC Summit






H.E. Joyce Banda, President of the Republic of Malawi awaits the arrival of H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania late this afternoon at the Kamuzu International Airport in Lilongwe, Malawi.


Tanzania and Malawi Government Officials awaiting the arrival of President Kikwete. Right is Ambassador Patrick Tsere, High Commissioner of the United Republic of Tanzania in Malawi, Hon. Dr. William Augustao Mgimwa (MP) (3rd right), Minister for Finance and Ambassador Flossie Gomile-Chidyaonga (2nd left), High Commissioner of Malawi in Tanzania.





President Kikwete descending the stairs upon his arrival at the Kamuzu International Airport in Lilongwe, Malawi late this afternoon. President Kikwete is in Malawi ready to attend the 33rd Heads of State and Government SADC Summit to be held at the Bingu International Conference Centre.



President Joyce Banda of Malawi welcomes her counterpart, President Jakaya Kikwete of Tanzania.



President Kikwete listens to a young boy whispering "when I grow up, I want to be a President just like you", just upon his arrival late this afternoon in Lilongwe, Malawi.



President Kikwete impressively gives a young boy a present, while President Joyce Banda of Malawi witnesses the special moment.



The Presidents share a light moment as they walk towards the Guard of Honor.




H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete inspects the Guard of Honor upon his arrival at the Kamuzu International Airport in Lilongwe, Malawi.



President Jakaya Kikwete of Tanzania and his counterpart President Joyce Banda of Malawi observing National Anthems of both countries.



President Kikwete addresses members of media who had surrounded him to inquiry about his expectation towards the 33rd Heads of State and Government SADC Summit scheduled to convene on the 17th to 18th of August, 2013.



Some women who have gathered to perform traditional dancing were also in hand to welcome President Kikwete.



More of traditional entertainments.



A group photo of Hon. Dr. William Augustao Mgimwa (MP) (left), Minister for Finance, Hon. Ephraim Chiume (MP) (center), Minister for Foreign Affairs in Malawi and Ambassador Patrick Tsere, High Commissioner of the United Republic of Tanzania in Malawi.



Hon. Chiume and Ambassador Tsere share some few laughters.






Hon. Bernard K. Membe (MP) (fourth left), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation in a discussion with Tanzania delegation. In the photo are Ambassador Radhia Msuya (left), High Commissioner of Tanzania in South Africa, Ambassador Adadi Rajab (2nd left), High Commissioner of Tanzania in Zimbabwe and Ambassador Rajabu Gamaha (3rd left), Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation. Also in the photo is Ambassador Patrick Tsere (3rd right), High Commissioner of Tanzania in Malawi and two Senior Advisors to President Kikwete.




Hon. Membe discusses something with Ambassador Tsere, while Ambassador Rajabu Gamaha (left), and Dr. Laurean Ndumbaro, Political Advisor to President Kikwete listen.


 
Mie nilishasema JK hua hana noma na mtu ni hawa majirani tu wanapenda kumchokoza
 
Naunga mkono 100%. Ukiondoa undumilakuwili iliokuwa nao Malawi tangu enzi za Dr. Hastings Kamuzu Banda kwa kuunga mkono makaburu dhidi ya wazalendo weusi wa Afrika Kusini; all SADC sates are, and should remain to be, our best friends than any other countries under the Sun.

Pamoja na matatizo madogo madogo yaliyopo kati yetu na Malawi naunga mkono Rais kwenda mwenyewe huko kuhudhuria mkutano wa SADC kuliko ambavyo angekwenda kwa wanafiki EAC. Long live SADC!
 
Wanafiki wamekutana/
Kila mtu hapo anawaza kivyake tu,wanatabasamu lakini suala la ziwa nyasa linagonga vichwa vyao huku fitna na hasira zao zikielekezwa kwenye samaki wa ziwa hilo wanaomwagiwa sumu na kufa ovyo.
 
Mie nilishasema JK hua hana noma na mtu ni hawa majirani tu wanapenda kumchokoza

Sio kwa kuwa ni JK ila kwa issue iliyopo kati yetu na Malawi ilipaswa Rais mwenyewe ahudhurie badala ya kutuma mwakilishi. Hii ni muhimu sana na inapeleka ujumbe muhimu kwa jamii ya kimataifa ukizingatia "mgogoro" unaodaiwa kuwepo regarding Lake Nyasa. Angalau kwa hili wanadiplosia wetu wamegonga penyewe.
 
I'm eagerly waiting to see the same when JK, will meet Kagame.


I wouldn't recommend our president to meet that blood sucker! Rwandans are, and shall remain to be our neighbors forever, but to meet Kagame regime NO! Kagame akipita tutaweka mambo vizuri na ujirani mwema utaendelea kuwepo tu. La msingi Kagame aondoke kwanza.
 
Back
Top Bottom