kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,800
- 694
kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu. ni swala la maslahi(common interest).
Vyombo huru vya habari ambavyo wahariri wake wamenunuliwa kwa bahasha? Unanchekesha. Lini Mwanahalisi litafunguliwa? Lini polisi wataacha kuingilia na kudhibiti maandamano ya Chadema. Talk about upumbavu! Lini serikali itakaa na kuwasikiliza wakazi wa Mtwara badala ya kuwapelekea JWTZ kuwabamiza? Upumbavu kweli.kuwa na chombo binafsi cha habari kisichokuwa na mfungamano na serikali na kuwa huru kuandika habari ambazo wahariri wanaziamini bila kufuata maelekezo ya watawala ni mafanikio makubwa sana ya uhuru na demokrasia hapa kwetu TANZANIA! vyama vya upinzani ,wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuwa huru kuikosoa serikali na viongozi wake pale wanapokosea ni mafanikio makubwa sana ambayo kwa rwanda chini ya kagame kuyafikia ni kiama! Maana ni kiongozi asiyependa haki na kukosolewa hata pale anapokosea waziwazi, huku wajinga anaowaongoza bila kuhoji wanafurahia binadamu wenzao wakichinjwa kama kuku mkidhani mtakuwa salama! mchuma janga hula na wakwake! nitajie chombo chochote cha habari kinachodhubutu kuandika kinyume na matakwa ya kagame hapo kigali, rwanda wapinzani hawana sauti mfano mzuri Bizimungu! endeleeni na upumbavu wenu wa kucheza ngoma hata kabla haijapigwa, muda si mrefu kwa arrogant hizi, tutawashuhudia tena mkibeba nikeka na mifuko ya rambo kuomba ukimbizi, shame upon you!
mbona hueleweki
Vyombo huru vya habari ambavyo wahariri wake wamenunuliwa kwa bahasha? Unanchekesha. Lini Mwanahalisi litafunguliwa? Lini polisi wataacha kuingilia na kudhibiti maandamano ya Chadema. Talk about upumbavu! Lini serikali itakaa na kuwasikiliza wakazi wa Mtwara badala ya kuwapelekea JWTZ kuwabamiza? Upumbavu kweli.
Jaribu kufikiri kwa kutumia Kichwa basi siku Moja moja
Joyce bana! Sasa Wajeda wote hawa wa nini?
![]()
Mimi sinazo, na wewe unazo. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi. Lakini mimi ni Mtanzania ninayeelewa yanayoendelea nyumbani kwetu. Wewe uliye nazo kaa tu kama vuvuzela wakati wenzako wanafyonza nchi kama vile leeches.wewe hunazo, mwanzo wa ngoma ni lele, kama husikii lele ujue na ngoma haipo, sasa kwenu hata dalili za lele hamna mtajilinganishaje na Tanzania ambao tumeshajaribu? kama kusingekuwa na uhuru wa vyombo vya habari hata utumbo wako unaopost jf usingeweza kama ilivyo kwa rwanda, hii forum ingekuwapo rwanda ilishafungwa na wahusika kuuwawa ni nchi gani viongozi wa serikali wanachanwa live bila chenga wanapoboronga? acha ujinga wewe wanyarwanda tatizo hamjitambui mmeshawekwa mfukoni na huyo blood sucker mwenzenu! misukule ya kagame
Mimi sinazo, na wewe unazo. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi. Lakini mimi ni Mtanzania ninayeelewa yanayoendelea nyumbani kwetu. Wewe uliye nazo kaa tu kama vuvuzela wakati wenzako wanafyonza nchi kama vile leeches.
Badala ya kupiganisha askari ingekua majenerali wanazichapa kavukavu ukishindwa basi wenzako wanachukuaHapa JK anamwambia General Odillo ziwa Nyasa ni mali ya Tanzania na Malawi ukileta za kuleta utakutana uso kwa uso na General Davis M.![]()
Namuona kabila jr hapo anamcheki mzee wake,SADC kwetu ni muhimu sana kuliko hii EAC ya kikabila,
I'm eagerly waiting to see the same when JK, will meet Kagame.
Namuona kabila jr hapo anamcheki mzee wake,SADC kwetu ni muhimu sana kuliko hii EAC ya kikabila,
Badala ya kupiganisha askari ingekua majenerali wanazichapa kavukavu ukishindwa basi wenzako wanachukua