JK Uso Kwa Uso Na Joyce Banda - Malawi

JK Uso Kwa Uso Na Joyce Banda - Malawi

Superman
Ahsante sana kwa coverage hii na inputs muhimu kwetu wanajf.
Hii ndio diplomasia ya mkulu wetu, tabasamu lake lawachanganya sana Wanyasa na hawamuelewi isipokuwa sisi tuliompangisha Magogoni kwa kodi zetu.
 
Last edited by a moderator:
Rais wetu amefanya jambo jema sana kwenda kwenye huo mkutano. Nadhani atapata muda wa kuongea na mama Banda juu ya swala la ziwa Nyasa face to face ma kupata suluhu. Tuwapende majirani zetu kama tunavyojipenda.
 
kwanza aliyekuambia simfahamu kagame ni nani? au unaona kagame yupo sayari za mbali ambako hakufikiki? siwezi kuwa na chuki na kagame kwani hanisaidii kwa lolote, tunanamtaka azungumze na wanyarwanda wenzake kama FLDR na wengineo aliowatenga kwenye siasa ya nchi yao, pia aache kuuwa wahutu na wakosoaji wake kisiasa na pia aache mara moja kufadhili magenge ya kihuni huko DRC ! kinyume na hapo hatavumilika na mpenda haki yoyote duniani na dawa yake itakuwa ni kumshikisha adabu tu

Rais wako Mwenyewe Kashushuliwa
Who are You ????????????????????????????????????????????
 
Na hapa je?

8E9U4599.jpg

kikwete is a diplomat.......hakuna sumu hapo.......we are just brothers.....
 
unapokua member wa JF sio maana yake kazi yako ni kuwa na -ve altitude kwa kila jambo,hebu tumia akili in advance.UNAFIKI UPO WAPI HAPO?
Unafiki upo kwamba hawa marais wawili wanataka kugombanisha nchi mbili kana kwamba wanatujali sana sisi wananchi wao na mustakabali wetu. Wangekua na nia na dhamiri safi kwetu ningekua wa kwanza kuwasapoti. Btw, how do u define a mburula?
 
Mimi sinazo, na wewe unazo. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi. Lakini mimi ni Mtanzania ninayeelewa yanayoendelea nyumbani kwetu. Wewe uliye nazo kaa tu kama vuvuzela wakati wenzako wanafyonza nchi kama vile leeches.
Naheshimu sana uzoefu wako na michango yako hapa jukwaani. Lakini siku za hivi karibuni umekuwa ukinipa wasiwasi sana kuhusu hapo kwenye red hasa linapokuja swala la Kagame. Vipi hapo?
 
Naheshimu sana uzoefu wako na michango yako hapa jukwaani. Lakini siku za hivi karibuni umekuwa ukinipa wasiwasi sana kuhusu hapo kwenye red hasa linapokuja swala la Kagame. Vipi hapo?
Hapo sawa. Sasa kama wote tungerukia kwenye band wagon ya kumlaani Kagame ungepata wapi maoni ya upande mwingine? Nawakilisha upande mwingine katika hili. Simlaumu Kagame, I admire him and the circumstances he finds his country and regime in.
 
Hapo sawa. Sasa kama wote tungerukia kwenye band wagon ya kumlaani Kagame ungepata wapi maoni ya upande mwingine? Nawakilisha upande mwingine katika hili. Simlaumu Kagame, I admire him and the circumstances he finds his country and regime in.

Umesomeka mkubwa kwamba upo kambi gani. Haina shida tutakutana uwanjani.
 
Nampenda raisi wangu akurupuki anangalia sana maslahi ya nchi yetu .hasara na faida .malawi ninini bwana hata huyo kagame ninani ? Wasiendelee kutuchokoza naomba kagame atulie tuna uchungu na rais wetu.nadhani mama band a ametuelewa sasa. .
 
Back
Top Bottom