Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Live TBC: Maghembe sasa anafika mbali zaidi............
Anamuambia JK ampe "muda wa miaka mitatu zaidi" akamilishe malengo mbalimbali ya MoE. Anajipigia kampeni.
mh!! Hii nchi ya ajabu sana
Live TBC: Maghembe sasa anafika mbali zaidi............
Anamuambia JK ampe "muda wa miaka mitatu zaidi" akamilishe malengo mbalimbali ya MoE. Anajipigia kampeni.
natamani akolapse halafu apitilizie huko huko!!!!
akipitiliza kwenye huko kuanguka itakuwa style ya pekee sana hii.Hana style nyingine zaidi ya kuanguka jukwaani so anaweza kutumia hiyo kuombea kura kwa walimu
Inawezekana hao wakawa sio walimu ni makada tu wa sisiem wakupakiwa kwenye malori.:hand:
Nimependa concetration yao na uniformity, what does one get from this picture? Anayetia doa ni mama mwenye kanga inaelekea kapotea njia, it so uniform and organised to be true
Kwa kweli waalimu wamejitahidi kumechisha, all of them in black trousers and skirts as the case may be. Hawa ni waalimu kweli. Naona kama uniform za fiesta isipokuwa cap na T shirtLibasket B vip umenyang'anywa kitendea kazi mbona huwakilishi matukio tena ?
samahanini ndugu zangu kitendea kazi kiliishiwa moto pale uwanjani nikashindwa kuendelea kuwaletea yanayojil live but subiri nianzishe post mpya niwaelezee hali halic iliyotokea pale na maon ya baadhi ya walimu.
Live TBC: Maghembe anasema kuna mradi unaitwa Tanzania beyond tomowrrow unaonuia kufanya yafuatayo:
1. Kuweka wingu la internet katika kila shule (hapo sijamuelewa kabisa Prof)
2. Kufungua maabara za dijitali (digital) lila shule . amesahau kama shule nyingi hazina umeme
Mhhh kwa walimu wetu hawa hawa mi sina matumaini nao saana. Maana wasiwasi wangu unaanzia kwa hao viongozi wao. YUpo jamaa mmoja siku hizi anaongea saana si comredi Mkoba!!, yeye anatoka mkoani Mara anaitwa OL...... Huyu jamaa nilikuwa naye UDSM, na alikuwa katika uongozi wa Daruso, miaka ya 90 na ushehe. Siku moja alinusulika kubondwa na wanafunzi pale Nkhuruma kutokana na kuwa TRAITOR!!! Hivyo waalimu wamuangalie kwa macho ya tahadhari saana. Si kiongozi makini. Kumbukeni historia yake. Ndio maana nasema matokeo baaada ya mkutano huo ni JK kuelewana na waalimu. Kumbukeni kama kusingekuwa na matumaini hayo JK asingeenda kwenye mkutano huo
Babayah67