TUNTEMEKE
Platinum Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 581
Nipo ndani ya uwanja wa majimaji,hadi muda huu jk bado hajawasili uwanjani,gari la TOT liliingia ndani ya uwanja wa makutano limeamuliwa litoke,walimu wamekaa hawana furaha mpaka mc anawaambia akija rais bac tutoke huko tulipo kaa tuje kukaa mbele,isije muheshimiwa raisi akadhan bado tuko kwenye kale kamgomo..