Naomba anayejua zaidi maana ya kukata utepe atueleze. Ninavyofahamu mimi kukata utepe huwa ni ishara ya uzinduzi rasmi, sanasana wa majengo. Na kawaida huwa unafanyika kwa kutokea nje, kama vile wahusika ndo wanaingia humo jengoni kwa mara ya kwanza (they are only symbols that carry their meaning anyways). Sasa hawa wanaokata utepe kuelekea nje wanataka kutupa ishara gani?
Kazi ya kukata utepe ni kazi ya Makamo wa Rais
Naomba anayejua zaidi maana ya kukata utepe atueleze. Ninavyofahamu mimi kukata utepe huwa ni ishara ya uzinduzi rasmi, sanasana wa majengo. Na kawaida huwa unafanyika kwa kutokea nje, kama vile wahusika ndo wanaingia humo jengoni kwa mara ya kwanza (they are only symbols that carry their meaning anyways). Sasa hawa wanaokata utepe kuelekea nje wanataka kutupa ishara gani?
hii lina maana the opposite is true... si unajua wataalam hawaachi kumdanganya msanii!Naomba anayejua zaidi maana ya kukata utepe atueleze. Ninavyofahamu mimi kukata utepe huwa ni ishara ya uzinduzi rasmi, sanasana wa majengo. Na kawaida huwa unafanyika kwa kutokea nje, kama vile wahusika ndo wanaingia humo jengoni kwa mara ya kwanza (they are only symbols that carry their meaning anyways). Sasa hawa wanaokata utepe kuelekea nje wanataka kutupa ishara gani?
Badilisha tu kijana jina lako , ulilikosea usione aibu kwani ndio malipo ya vilaza wanapokosea. Naomba kajiandikishe Elimu ya watu wazima inatolewa bureee
Naomba anayejua zaidi maana ya kukata utepe atueleze. Ninavyofahamu mimi kukata utepe huwa ni ishara ya uzinduzi rasmi, sanasana wa majengo. Na kawaida huwa unafanyika kwa kutokea nje, kama vile wahusika ndo wanaingia humo jengoni kwa mara ya kwanza (they are only symbols that carry their meaning anyways). Sasa hawa wanaokata utepe kuelekea nje wanataka kutupa ishara gani?
hii itakua ya ajabu zaidiNafikiri wakati umefika aitwe professor ili akate kiu kabisa. Idd Amin alifikia level ya juu kabisa ya Prof. Field Marshal Idd
To be read by the Chancellor of UDOM
I hereby confer upon you (JK) the degree honoris causa in full recognition of how you rigged the elections in your own favour and thus in favour of all relatives and friends in the most corrupt government system. In the future, the UDOM looks forward to your favoratism and if that is done you will be upgraded to the proffesorial level. Congratulation Dr? Jakaya Mrisho Kikwete!
Hata mimi nimeshangaa sana hilio, mahafali ya kwanza wameshaanza kumpatia JK udaktari? Hiyo kasi.....mkuu shahada ya heshima inatolewa na chuo ambacho kimeshatoa shahada kama hiyo hiyo academically na siyo honorary ...... UDOM wameshatoa shahada ya udaktari wa falsafa before??????????????????
unaelewa maana ya WAPUMBAVU!? Anayejiona amesimama haangalie asiangukepumba tupu yani chuoo kizima pale wapumbavu nyie watu wawili hum ndoo wajuzi ama kweli waathirika wa 31 kazi kwelkweli:teeth::teeth::teeth:
Mchango wake katika secta ya Elimu kwa kuidi-dimiza zaidi. Sasa hivi kuanzia shule za Misingi mpaka Chuo kikuuu Elimu imeshuka, iko chini ya Viwango. Unafiki na Uongo utaliangamiza hili Taifa.sababu ya JK kupewa hiyo PHD ni MCHANGO WAKE MKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU
hivi mbona hawatoi Maaters?
mkuu shahada ya heshima inatolewa na chuo ambacho kimeshatoa shahada kama hiyo hiyo academically na siyo honorary ...... Udom wameshatoa shahada ya udaktari wa falsafa before??????????????????
waungwana,
udom hata haijaruhusiwa kuanza kutoa masters, iweje itoe ph.d ingawa ni ya heshima? Hapa utaratibu umekiukwa, kwani hawa hawana uwezo wa kutoa hizo doctorate, tunakwenda wapi hata maadili tusifate, jamani?