JK kuhutubia taifa kesho usiku

JK kuhutubia taifa kesho usiku

Anaenda pale kuchekacheka tu kama kawaida yake,mambo ya maana kwa watanzania kwake hayana maana

Sitoshangaa kama hata suala la sheria ya katiba mpya akiikalia kimya
 
Hana jipya,au anataka kutusimulia mambo ya USA,atakuja na vijemmbe vyake vya vijiwe vya kahawa kuhusi katiba mpya
 
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.

Atuambie wauza madawa ya kulevia ni kina nani maana alishakiri anayo majina,mikataba ya gas ni kwa manufaa ya nani maana hata umoja wa ulaya unashangaa mikataba isiyo na maslahi ya taifa
 
Warioba na tume yake wote ni MAFISADI, pesa walizohongwa ndizo zinazowafanya kuwa kama Trash can
 
Hana jipya huyu zaidi ya kelele zisizo na tija...Blah blah blah blah!!! Siku zote akimaliza kuhutubia ukitathmini alichoongea ni SIFURI.
 
Kamati umechagua wewe inaleta maoni ya wadau unaisanii tena, Wasanii hawa balaa tupu lkn haya tusikilize maisha bora toka marekani. Tra na tozo masogange na drug pushers, eac, mzee wa msoma na kakatiba ketu, ndy mafanikio ya taifa lenye siri kli sikivu
 
Tutegemee mipasho zaidi pamoja na uongo mwingi kutokana na ziara ya kitalii aliyoifanya Marekani!!!!
 
Kuna sakata la mabilioni ya Uswiss ($6 billion) zaidi ya mwaka sasa. Kama kiongozi wa nchi alitakiwa azungumzie hili kwa kina lakini tangu lianikwe hadharani June, 2012 analikimbia kwa miezi 16 sasa!!!

Sitoshangaa kama hata suala la sheria ya katiba mpya akiikalia kimya
 
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.

...desa halijakaa vizuri tu,mzigo unarekebishwa,mbona mkapa aliwahi kuhutubia taifa akiwa nje ya nchi...
 
...sikumbuki mara ya mwisho ni lini nimesikiliza hizi hotuba...
 
Agusie yafuatayo kama mkuu wa nchi;

1) Tanzania kutengwa ktk ushiriki wa maamuzi ya EAC
2) Uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania
3) Uamuzi wa TRA kuendelea na kudai kodi ya laini za simu
4) Hali ya usalama wa nchi kama amri jeshi mkuu hasa tishio la ugaidi (namna tulivyojipanga) na wimbi kubwa la ujambazi
5) Maoni yake kuhusu shinikizo la wananchi kutosaini mswada wa katiba mpya
6) Hatua maalum ilizozichukua serikali kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.

Hotuba yake itajaa story za safari zake na namna Tanzania ilivyoahidiwa misaada na wajomba zetu huko ughaibuni huku akiwabeza wapinzani kuwa "halafu wanasema hatufanyi kazi!" Ngoja tumsikie....
 
Mnafikiri kwa kuwa nyinyi mnauana ndio kila mtu, mnauana kwa kukolimbiana lakini kwa dawa feki za ukimwi, wamejaa wagonjwa watupu huko halafu bado mnauza na dawa feki za ukimwi, nasikia babu amesema anaanza tena kutoa kikombe badala ya kwenda Marekani mwende kwa babu sasa.
kuliko kuwa na watoto kama hawa wazazi wao bora wangezaa ushuzi wakautumia kuanzisha kampuni za pafyum.
 
kuliko nimsikilize huyo bora niwatafute watu wanaotukanana niwasikilize.
 
no expectations...another screen talk

sorrrry
 
Sitoshangaa kama hata suala la sheria ya katiba mpya akiikalia kimya
Kwani jk anatunga katiba au sheria haya mambo yalishaisha bungeni kinachoendelezwa ni utovu wa nidhamu kukaa mnapiga kelele.
 
Back
Top Bottom