Binafsi sina muda wa kumsikiliza maana mambo ya msingi huwa anayasema kimzaa na wakati mwingine kutoyagusia kabisa! Naweza kuweka hela kwamba muda mwingi ataelezea safari zake za nje na opereshen iliyofail (kimbunga)
Zege halilali. Rais hajapumzika, moja kwa moja kuongea na wananchi wake. Vivaaaaaa
Wewe unayeshinda jikoni kutwa kuonja chumvi na kufukuzana na wapishi unafaida gani akili za bavicha bwana.Ana cha maana cha kuongea kweli? Eti anataka kuhutubia taifa wakati kila kukicha yeye anashinda nje ya nchi tu kutalii. Anajuaje kama wananchi wake wana matatizo au nchi iko kivipi wakati yeye hataki kutawala nchi?
Kwani kuandika utaandika ukiwa umelala we hewa kweli kila kitu kinataka mda hakuna kisichotumia mda.Kwani hotuba ya kuandikiwa na kusoma inahitaji muda wa kupumzika na kutafakari? Ni sawa tuu na mimi nikitoka kwenye mihangaiko ya kutwa nzima sihitaji kupumzika ili kusoma gazeti la Nipashe nyumbani.
Watu wengine majanga kweli mkuu unalalamika eti mwezi umemalizika rais hakuwepo karudi punde tu ulitaka afanye nini ahutubie akiwanjiani anarudi au akiwa marekani.
Ww huna tv wala king'amuzi ndio mana. Sizitaki mbichi hizi!!!hakuna jipya , wala sitahangaika kumsikiliza .
Ndio aliekuharibu akili hadi sasa. Nenda hospitaliIsije kuwa hotuba hiyo anaisomea pale Airport Vip lounge huku ndege inamsubiri kwa safari nyingine. Yaani inanikumbusha zamani nilikuwa na mjomba kondakta wa mabasi ya Shengena alikuwa hatulii nyumbani yeye ni safari tuu.
Kwani kuandika utaandika ukiwa umelala we hewa kweli kila kitu kinataka mda hakuna kisichotumia mda.
Kikwete ni jembe
Kikwete ni jembe
Kwani hotuba ya kuandikiwa na kusoma inahitaji muda wa kupumzika na kutafakari? Ni sawa tuu na mimi nikitoka kwenye mihangaiko ya kutwa nzima sihitaji kupumzika ili kusoma gazeti la Nipashe nyumbani.