Agusie yafuatayo kama mkuu wa nchi;
1) Tanzania kutengwa ktk ushiriki wa maamuzi ya EAC
2) Uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania
3) Uamuzi wa TRA kuendelea na kudai kodi ya laini za simu
4) Hali ya usalama wa nchi kama amri jeshi mkuu hasa tishio la ugaidi (namna tulivyojipanga) na wimbi kubwa la ujambazi
5) Maoni yake kuhusu shinikizo la wananchi kutosaini mswada wa katiba mpya
6) Hatua maalum ilizozichukua serikali kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.
Nakuunga mkono kwa hoja zako, ila naongezea aseme kwanini Zanzibar ilitengwa katika kusikilizwa katika maoni ya Katiba mpya jambo lililozua mvutano mkubwa Bungeni.