Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Unadhani slaa na jk ni wamoja au mkapa na jk ni wamoja,
ndiyo maana jk ni rais slaa ni mwanaharakati .
Kikwete ndiye rais pekee asiyemaliza mwezi nchini kwake bila ya kwenda kwa MALIBERALI
Unadhani slaa na jk ni wamoja au mkapa na jk ni wamoja,
ndiyo maana jk ni rais slaa ni mwanaharakati .
Mbona mara kibao tu wanatuwekea CD wakati jamaa yuko majuu? Hivi yeye huwa ni ulaya na marekani tu kwa nini hafanyi ziara kwenye nchi zingine za kiafrika kama Botwana, Angola, Rwanda, Mali, Ghana nk? Kunanini ulaya?
kwili wewe ni kichwa maji jana mlikuwa mnakoment nini na leo mnajikana? kweli cdm ni mambululaKikwete ndiye rais pekee asiyemaliza mwezi nchini kwake bila ya kwenda kwa MALIBERALI
hivi mwenye mtindio wa ubongo anauwezo wa kushangaa?
Hii siku ndiyo aliyoifanya bwana tutakaa na kumsikiliza rais wetu hakuna kama jk amethubutu kaweza sasa anasonga mbele.
Unadhani slaa na jk ni wamoja au mkapa na jk ni wamoja,
ndiyo maana jk ni rais slaa ni mwanaharakati .
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.
Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.
Stay tuned
=========
Update:
TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.
ASANTENI
SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013
...............
Hiyo namba NNE haiongelewi ovyo....Hata kenya iliwagharimu ....kusemasema ovyo kwa ole lenku
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.
========= TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO said:This is very serious! Hivi kweli huyu Salva Rweyemamu ni Mkurugenzi wa mawasiliano wa Ikulu?
This is real a big shame, Mkurugenzi wa mawasiliano wa Ikulu hajui hata etiquette za mitandaoni?!! Hivi tunamlipa pesa ya nini mtu kama huyu?!
Kuandika kwa herufi kubwa mtandaoni maana yake ni kupiga kelele (shouting). Sasa Salva alikuwa anampigia kelele nani? Sisi Watanzania tumekuwa watoto zake? au mke wake?! Poor Salva Rweyamamu.
Tutegemee mipasho zaidi pamoja na uongo mwingi kutokana na ziara ya kitalii aliyoifanya Marekani!!!!
Jk haongeangi ujinga daima hujadili maswala ya kitaifa utotoutoto kama wa akina slaa kutoa matamko yasiyo na maana huo mda hana.
Huo Muda nitakuwa Bar nikicheza Pool table
Siyo kazi yako kutuambia.Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.
Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.
Stay tuned
=========
Update:
TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.
ASANTENI
SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013
rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.