JK kuhutubia taifa kesho usiku

JK kuhutubia taifa kesho usiku

Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.

Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.

Stay tuned

=========
Update:


TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.

ASANTENI

SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013

Naombeni msaada kwenye rangi nyekundu, hivi tarehe hiyo bado haijafika au ndo KAMANDA AMESANDA au KASEPA?:shut-mouth:
 
Siku nyngne msiwe mnatoa taarifa kabla, angalia sasa alivyotimua mbio, ni vumbi tu naliona.
 
Naombeni msaada kwenye rangi nyekundu, hivi tarehe hiyo bado haijafika au ndo KAMANDA AMESANDA au KASEPA?:shut-mouth:

Hahahahaha Jamaa yuko ziarani Pwani na hawajatoa taarifa yoyote ya kushindwa kuhutubia jana kama alivyoahidi Salva. Kweli Rais wetu ni zaidi ya Mwahili!
 
Siku nyngne msiwe mnatoa taarifa kabla, angalia sasa alivyotimua mbio, ni vumbi tu naliona.
Kweli Rais wetu kwa woga haina mfano. Lakini tujiandae hakawii kuhutubia Rufiji kile ambacho alitaka kuwaambia watanzania wote, jamaa mwoga sana so anatafuta forum dhaifu ili akayasemee huko
 
hii thread ni authentic kiasi gani? bado ni mashaka na hilo.
 
Back
Top Bottom