JK kuhutubia taifa kesho usiku

JK kuhutubia taifa kesho usiku

Atazungumzia ufujaji wa ruzuku ya chama unaofanywa na slaa kwenda kutumbua na hawara yake nje ya nchi
Ukisikia kubwa jinga ndio wewe. Damu za watanzania zimewafanya mataahira, kuwauzia dawa feki za ARVs, kuwapiga mabomu, mlifikiri mtanusurika, hizo ndio dalili zenyewe za wehu, Slaa amewafanya vibaya na bado.

Kuhusu hotuba ya huyo mzururaji, haina jipya na watu wenye shughuli zetu hatuwezi kupoteza muda kumsikiliza, atasikilizwa na majobless na mapunda kama nyie.
 
Wasio na la kufanya watamsikiliza na kumtazama rubani
 
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka hawahutubie wananchi hakiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.

Tunajua unampenda Kikwete! Basi jifunze matumizi ya herufi 'H' au rudi darasa la pili kwa mwalimu babu au bibi akakukumbushe kwa kukusina kwenye mashavu.
 
Jakaya Kikwete has lost the power of speech.
I expect the same stories with no responsibility.
 
Watu wengine majanga kweli mkuu unalalamika eti mwezi umemalizika rais hakuwepo karudi punde tu ulitaka afanye nini ahutubie akiwanjiani anarudi au akiwa marekani.
Angekuwa anaongea cha maana tungemdai kuna miezi mingi tu huwa anapitisha haongei, lakini kwa kuwa anamwaga pumba, hatujali kama atahutubia au hatahutubia.
 
bila shaka ataongea jisi alivyosifiwa na bank mun kwa kulinda amani congo
 
Ili kujipunguzia hasira na maudhi, muda huo ukiifika ni bora niende bar nikapate soft drink au nibadili channel ikitokea bahati mbaya naangalia TBC CCM!
 
Tumemzoea, sidhani kama atakuwa na jipya, hata hakizungumzia hayana mashiko, watendaji wake hawaheshimu anachosema Rais, anyway kama kuongea nikuongea basi baba ridhiwani usiache kuzungumzia haya
1. Nchi kupambana na madawa ya kulevya
2. kwanini mmeyanfungia magazeti MWANANCHI na MTANZANIA kwa kuyatisha yasiendelee kuwaumbua wauza madawa? mbona kama wanakushinda nguvu hawa wahafidhina? katika marais wenye uvumilivu ni wewe, tumeshangaa kwenye hili, najua hukushirikishwa
3. Msimamo wako kusaini au kutosaini muswada wa katiba
4. Maendeleo ya miradi, hasa barabara
5. Ufisadi umefikia asilimia ngapi sasa hivi
6. Ulinzi dhidi ya magaidi
7. nakadhalika
 
Natarajia mwelekeo mpya waweza kuwa chanya au hasi.Tujiaandae kwa lolote ila atakua kashaanza kumisi yale maghorofa na barabara za juu kule nyuu yokuu,kalifonia n.k!
 
JK ataongelea mambo baki kabisa ambayo hayaligusi taifa kwa sasa atazungumzia kukua kwa uchumi,wiki ya nenda kwa usalama na mitihani ya darasa la saba
 
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka hawahutubie wananchi hakiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.
Ritz we janjawid nini!! mbona cielewi kiswahili chako! Au ndio kile cha IGWEEEEEEEEE!!
 
Last edited by a moderator:
Ukisikia kubwa jinga ndio wewe. Damu za watanzania zimewafanya mataahira, kuwauzia dawa feki za ARVs, kuwapiga mabomu, mlifikiri mtanusurika, hizo ndio dalili zenyewe za wehu, Slaa amewafanya vibaya na bado.

Kuhusu hotuba ya huyo mzururaji, haina jipya na watu wenye shughuli zetu hatuwezi kupoteza muda kumsikiliza, atasikilizwa na majobless na mapunda kama nyie.
Wewe kwani unaakili gani we ndo garasa kabisa na chama chenu cha mauaji mpaka mnaua ndugu sasa ngoja tuone mwisho wenu mtamalizana kuuana na uongozi wa nchi hii hamataupata kamwe hatujagui chama cha maruhani,slaa kutwa anapanga kuhujumu wenzake na wewe ndiyo umemuona wa maana.
 
Tumemzoea, sidhani kama atakuwa na jipya, hata hakizungumzia hayana mashiko, watendaji wake hawaheshimu anachosema Rais, anyway kama kuongea nikuongea basi baba ridhiwani usiache kuzungumzia haya
1. Nchi kupambana na madawa ya kulevya
2. kwanini mmeyanfungia magazeti MWANANCHI na MTANZANIA kwa kuyatisha yasiendelee kuwaumbua wauza madawa? mbona kama wanakushinda nguvu hawa wahafidhina? katika marais wenye uvumilivu ni wewe, tumeshangaa kwenye hili, najua hukushirikishwa
3. Msimamo wako kusaini au kutosaini muswada wa katiba
4. Maendeleo ya miradi, hasa barabara
5. Ufisadi umefikia asilimia ngapi sasa hivi
6. Ulinzi dhidi ya magaidi
7. nakadhalika
Akili za kibavicha utazijua tu ni pumba tupu.
 
JK ataongelea mambo baki kabisa ambayo hayaligusi taifa kwa sasa atazungumzia kukua kwa uchumi,wiki ya nenda kwa usalama na mitihani ya darasa la saba

Hahahahaha mkuu umenivunja mbavu sana
 
Angekuwa anaongea cha maana tungemdai kuna miezi mingi tu huwa anapitisha haongei, lakini kwa kuwa anamwaga pumba, hatujali kama atahutubia au hatahutubia.
Mliovurugwa hamjifichi pole wambie wakupepee ili utulie kuvurugwa kubaya.
 
Back
Top Bottom