JK kuhutubia taifa kesho usiku

JK kuhutubia taifa kesho usiku

Ukisikia kubwa jinga ndio wewe. Damu za watanzania zimewafanya mataahira, kuwauzia dawa feki za ARVs, kuwapiga mabomu, mlifikiri mtanusurika, hizo ndio dalili zenyewe za wehu, Slaa amewafanya vibaya na bado.

Kuhusu hotuba ya huyo mzururaji, haina jipya na watu wenye shughuli zetu hatuwezi kupoteza muda kumsikiliza, atasikilizwa na majobless na mapunda kama nyie.
waambie ukweli hao watumwa wa ccm
 
Wewe kwani unaakili gani we ndo garasa kabisa na chama chenu cha mauaji mpaka mnaua ndugu sasa ngoja tuone mwisho wenu mtamalizana kuuana na uongozi wa nchi hii hamataupata kamwe hatujagui chama cha maruhani,slaa kutwa anapanga kuhujumu wenzake na wewe ndiyo umemuona wa maana.
Mnafikiri kwa kuwa nyinyi mnauana ndio kila mtu, mnauana kwa kukolimbiana lakini kwa dawa feki za ukimwi, wamejaa wagonjwa watupu huko halafu bado mnauza na dawa feki za ukimwi, nasikia babu amesema anaanza tena kutoa kikombe badala ya kwenda Marekani mwende kwa babu sasa.
 
JK ataongelea mambo baki kabisa ambayo hayaligusi taifa kwa sasa atazungumzia kukua kwa uchumi,wiki ya nenda kwa usalama na mitihani ya darasa la saba

kweli na me nafikili hivi.
 
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.

Tafadhari jifunze matumizi ya ''ha'' na ''a''
 
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.

Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.

Stay tuned

=========
Update:

TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.

ASANTENI

SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013

Tangu ameanza kuhutubia taifa ni nini cha maana kilichopatikana zaidi ya hadaa,uongo,unafiq na ujeuri? Sipotezi muda wangu kumsikiliza nitakuwa naangalia Mechi ya Man U
 
Tunajua unampenda Kikwete! Basi jifunze matumizi ya herufi 'H' au rudi darasa la pili kwa mwalimu babu au bibi akakukumbushe kwa kukusina kwenye mashavu.

Unaweza kukuta sio Ritz aliye hara hapo, kina Simiyu Yetu watakuwa wameitumia id yake one time. Mida ya kupokea posho hii wamekutana Lumumba.
 
Last edited by a moderator:
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.

Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.

Stay tuned

=========
Update:

TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.

ASANTENI

SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013

Kama kurugenzi ya ikulu inaweza kutengua maamuzi yake ya mwanzo kablla hata ya masaa 12, mangapi yatatenguliwa siku za nyuma. Inakuwaje Salva kuleta taarifa ambayo hana uhakika nayo, awajibishwe
 
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.

Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.

Stay tuned

=========
Update:

TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.

ASANTENI

SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013

Namshauri asisaini mswada wa sheria ya katiba. Akifanya hivyo atakuwa ametukosea watanzania. sana.
 
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.
President Mkapa alikua anahutubia hata akiwa nje ya nchi.Kwani kipi hakiwezekani? Afteral,JK atakuja na mipasho tu....hakuna cha maana...tunategemea malalamiko na mipasho....
 
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.

Wala hatuna haja na mihotuba yake, maana hakujaona tija yoyote zaidi ya PUMBA tupu. yeye aendelee kuzurura tu maana hiyo ndiyo ajira aliyo waomba waTanganyika.

Inasikitisha kuona kwamba, alizunguka Tanganyika yote kuomba ajira ya kukaa IKULU, matokeo yake amgeuka mzururaji asiye na mfano.

Na bahati mbaya sana hakuna hata cha maana alicho fuata ambacho kina manyfaa kwa waTanganyika. Kama ni hizo digrii, mbona Mrema aliletewa pale Masaki na sasa ni Dr. (PhD)!!!
 
Binafsi sina muda wa kumsikiliza maana mambo ya msingi huwa anayasema kimzaa na wakati mwingine kutoyagusia kabisa! Naweza kuweka hela kwamba muda mwingi ataelezea safari zake za nje na opereshen iliyofail (kimbunga)
Anaenda pale kuchekacheka tu kama kawaida yake,mambo ya maana kwa watanzania kwake hayana maana
 
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.

Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.

Stay tuned

=========
Update:

TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.

ASANTENI

SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013

mbona hujaweka email hapo? :mawasilianoikulu@yahoo.com
 
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.

hatuna muda wa kumsikiliza dhaifu,muda huo wa hotuba yake ntakuwa ktk kikao cha makamanda kuweka mikakati dhidi ya wauza unga na ushindi mkubwa 2015
 
Mnafikiri kwa kuwa nyinyi mnauana ndio kila mtu, mnauana kwa kukolimbiana lakini kwa dawa feki za ukimwi, wamejaa wagonjwa watupu huko halafu bado mnauza na dawa feki za ukimwi, nasikia babu amesema anaanza tena kutoa kikombe badala ya kwenda Marekani mwende kwa babu sasa.

waambie ukweli tu,kama wanabisha tumwulize mwakyembe na mwandosya walilichowafanyia
 
Inamaana hana ratiba maalum kama mwenzie aliyemtangulia Mr. ben? Ama ziara za nje kwanza mambo mengine bdae
 
Back
Top Bottom