JK kabomoa nyumba yake ya URSINO anaweka kitu kipyaaa

addis in dar

New Member
Dec 1, 2007
2
0
Wanaoandika andikeni mapema jamani JK kaanza vitu vyake kabomoa nyumba kwa kuwanunua majirani kinawekwa kitu.

Si mnakumbuka wakati wa kampeni nyumba ilikuwa haina hata fence. Jaribu kupita kwa walioko Dar.

Ni hatari miaka kumi sijui itakuwaje hiyo miwili tu
 

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,613
2,000
Hata wachungaji na mashehe hula katika alteri zao
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
10,018
2,000
lakini kuna some of the issues ambazo we have to think again before posting in threads, naamini kuwa akiwa kama president anapata kipato hevi na ukumbuke zile safari za nje zina masurufu ya kufa mtu hivyo pamoja na vyanzo vingine anazo hela za kununua mtaa.

Ila hapa cha msingi tuangalie asije akanunua ikulu tu....

Nyerere alienda na Tz yake bwana
 

Mkereketwa

JF-Expert Member
May 19, 2007
202
0
Sasa mshikaji ulitaka kwa kuwa rais basi asibadilishe hata nyumbani, sasa hiyo ni hatari.
 

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
0
That is why he spent a lot to became President, and gues what ??more suprises are in the pipeline. New Airport shifting to Bagamoyo, Harbour to Bagamoyo, Double tarmac road to Bagamoyo, University to Bagamoyo etc.
 

Severine

Member
Jul 25, 2007
17
0
Lets be serious and realistic.Supose you were you.Jambo la kwanza ambalo ungelifanya kama ungekuwa President ni nini?tuache kudanganyana.Kubadilisha nyumba tu isitupe tabu.Isitoshe ukarabati wenyewe mnauona.Yale yafanywayo na wajomba zenu Wakurugenzi na Mawaziri kwa kificho mbona hamyasemei.

Tuwe makini katika kuleta hoja kwa wana JF
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,335
2,000
Sidhani kama kuna tatizo kwa mtu kutengeneza kibanda chako. Unless kuna mtu anataka kutuambia zinatumika fedha za serikali au ametumia madaraka yake vibaya kupata eneo n.k Vinginevyo, tengeneza kwako mzee ila usifanye biashara ikulu tu au kutumia kiti chako kujiuzuia mgodi!
 

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,228
2,000
...ni kweli nimeshuhudia ukuta wa mabati tayari umezungushwa...ila ule ubao wa contractors umewekwa kwa ndani hauonekani kwa nje[hakupenda pale ionekane client:jakaya kikwete]

huu ni mmoja ya mradi pacha mikubwa ya nyumba ya kikwete ukienda sanjari na ujenzi wa magorofa tofauti kama 4.,kwenye boma la asili alipozaliwa pale LUGOBA ,chalinze...nafikiri kufikia mwakani miradi yote miwili itakuwa tayari..maana na yake magorofa ya lugoda ..ujenzi wake upu kwenye hatua za mwisho na mara kwa mara siku za jumapili huenda kuutembelea ,pale pia analima mananasi na kufuga kidogo[kama akiwa dar]...
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,335
2,000
Phillemon, sasa wanakijiji anzeni kuweka hizi picha maana huko nyuma watu wametuambia kuna majengo ya kina BM hadi leo hakuna picha hata moja; tumeambiwa ana Hekalu Lushoto lakini hakuna hata kapicha ka michongoma.. ..
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,747
2,000
Phillemon, sasa wanakijiji anzeni kuweka hizi picha maana huko nyuma watu wametuambia kuna majengo ya kina BM hadi leo hakuna picha hata moja; tumeambiwa ana Hekalu Lushoto lakini hakuna hata kapicha ka michongoma.. ..

Na zile za Kikwete je.....?
 

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,228
2,000
Phillemon, sasa wanakijiji anzeni kuweka hizi picha maana huko nyuma watu wametuambia kuna majengo ya kina BM hadi leo hakuna picha hata moja; tumeambiwa ana Hekalu Lushoto lakini hakuna hata kapicha ka michongoma.. ..

mwanakijiji mleta hoja hapa ni memba mpya ..ADDIS IN DAR..naamini atarudi hapa na picha..sijui kwa nini watu huwa wanaingia mara moja na hoja nzito alafu wanapotea..[mnakumbuka kuna memba mmoja aliingioa akisema yupo jikoni [ikulu]..ameingia mitini ].au sijui ni old members wanaingia na majina mengine ..kwa kuogopa tutawaomba ushahidi..nadhani tuopunguzage kuwabana sana watu...kuhusu hili la addis hoja yake ina ukweli..pia nashangaa kwa nini memba amejiita addis[addis in dar ni hoteli iliyopo karibu na nyumba ya muungwana pale ursino...

inawezekana ni mmoja wa majirani zake [wanaodai kuhamishwa ]..kuhusu picha inawezekana kuipata kiurahisi kutumia waandishi ambao wana press card..lakini ni vigumu kwa mtu tu..kwenda pale na kuanza kupiga picha...na survaillance iliyopo ni kujitafutia matatizo ambayo hayana faida..mara nyingine inatosha kuamini....
 

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,572
2,000
Wengine tuko mbali na Dar, hivyo hatuwezi kushuhudia kitu kinachoporomoshwa na hata hayo maghorofa ya Lugoba. Tuwekeeni picha ili tuweze kujua kama miradi hiyo inaendana na kipato halali cha president au kuna ziada inatumika. Si mnajua njia za kugeuza fedha haramu kuwa halali?
 

BMWsimba

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
355
500
Matengenezo mapya ya maeneo ya nyuma ya jangid...maeneo ya taa za st Peter ni noma with well equipped security camera...nadhani ni pa mkuu mpya
 

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
10,520
2,000
Na mimi natafuta pesa nikajenge huko, huku kwa mtogole ni shida
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom