JK: Huyoooo USA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK: Huyoooo USA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakindoMaster, Dec 11, 2007.

 1. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2007
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  The eighth Leon H. Sullivan Summit, formerly African African-American Summit will take place in June 2008 in Arusha, Tanzania, the first East African country to host the summit. The Sullivan Foundation will host its Fifth bi-ennial Awards Dinner on Thursday, December 13th in Washington. Tanzanian President Jakaya Kikwete will give remarks about the 2008 summit in his country.
  The foundation was started to preserve the legacy of the late Leon H. Sullivan, who played a key role in ending apartheid by getting companies to divest their holdings in companies doing business in South Africa.

  Former Tanzanian Foreign Minister Asha-Rose Migiro, now the U.N. Deputy Secretary General will be among those who will be honored at Thursday’s dinner.

  Howard Geter is the former U.S. Ambassador to Nigeria. He is now the president and chief executive officer of the Sullivan Foundation. He told VOA the foundation is excited about having its next summit in Tanzania.

  “The Sullivan Awards Dinner is a kickoff event. It will take place here in Washington, D.C. on Thursday, December 13, and President Kikwete will be the keynote speaker of the event. And President Kikwete will give a statement on his vision, on his purpose for hosting the summit, why it is important for Tanzania to do so, why it is important to East Africa, and why it is important to the continent,” he said.

  The Sullivan Foundation said in its news release that Nigerian President Umaru Musa Yar’Adua and President Ernest Bai Koroma of Sierra Leone were among the notable guests invited to attend the Awards Dinner.

  While the Nigerian President would be in Washington this week, Ambassador Jeter said there was no assurance he would be at the dinner.

  “We don’t have confirmation that President Yar’Adua will be coming to the dinner. He will be in Washington during that period. President Koroma has written to the Foundation and basically regretted, because we had anticipated he would be at the dinner. But he has had to regret and understandably he was just sworn into office, and he’s got a large mandate to fulfill in Sierra Leone. But he said he does want to participate in other Sullivan Foundation-sponsor events, and we hope to see him at the summit in June of next year,” Jeter said.

  Ambassador Jeter said a number of people whose works he said embody the principles championed by the late Reverend Leon Sullivan would be honored at the dinner, including the first African woman to hold the post of U.N. Deputy Secretary General. She will receive the International Service Award.

  “Asha-Rose Migiro is the Deputy U.N. Secretary General and first African and first woman to hold that position. She has been foreign minister in her country, and she has been active over the years on foreign policy issues as well as domestic issues at home. So we want to recognize her historic appointment to that position,” he said.

  Ambassador Jeter said two members of the U.S. Congress, Donald Payne and Chris Smith would receive the Government Award.

  “Congressmen Donald Payne and Chris Smith have both been chairs. Congressman Payne is currently the chair of the Africa Sub-Committee, and Congressman Smith did some very good work on human trafficking and efforts to contain and prevent that,” Jeter said.

  Others to be honored at the Sullivan Foundation include human rights activist John Prendergast for his activism on Africa, particularly Sudan’s Darfur region.

  Attendees at the dinner would be able to purchase DNA test kits at a special discounted price of $285. The kits normally sold at $349 each. Jeter explained the significance of the DNA test kits.

  “It’s a new phenomenon that’s become very popular on the American scene for African Americans who want to know something about their lineage and their past and where they’ve come from. And by examining their DNA, it’s possible to tell, it’s not precisely the area where you are from, normally one can tell the particular ethnic group that they may have derived from. So we want to offer that, and we’re glad we are able to do it at this kind of price,” Jeter said.

  Source:
  By James Butty
  Washington, D.C.
  11 December 2007
   
 2. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2007
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu yoyote ana attend hii kitu? Mwanakijiji natumaini nitakuona na wheelchair yako ukiuliza (ma)swali.
   
 3. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2007
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Haya Vasco we endelea tu kuvumbua! Lakini huko Marekani punguza mheshimiwa maana tumeanza kuweka question marks!
  Jamani wanaJF of USofA leteni live coverage!
   
 4. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2007
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Baada ya kusoma news kuwa Rais hatokwenda Ureno kwa kutingwa na shughuli nyingi za kitaifa nilianza kusema mesage imefika ya kutoendelea kuwa da Gama. Kumbe mkwere mjanja alikuwa amenusa vya washington akaona akiunga Ureno then USA itakuwa soo!! Dooo. when will he stop? God forbid is too much. hata kama ni mfanyabiashara basi kuna wakati anatulia na ku a ssess what've done in the past.
   
 5. M

  Mtu JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2007
  Joined: Feb 10, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu mshikaji Jakaya AKA Mtalii AKA Brotherman AKA Mvumbuzi da gama,hii ziara inafadhiliwa na nani?
   
 6. green29

  green29 JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2007
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 35
  Je ana mpango wa kutembelea na Moscow?
   
 7. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2007
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Alafu utafikiri hiyo safari ya Ureno ilikuwa ni ya kitalii! Mpaka Bobby Mugabe kahudhuria! Kweli mshikaji mwungwana ni wa kujirusha sana, anataka misifa ya kuwa guest of honour etc. Huko Ureno angeenda kupambana na wazee na vijana dynamic na ma-darlings of the West kama Zenawi wa Ethiopia (ingawa ni mshenzi huyo! lakini anapata misaada!) Haya Handsome boy kakimbilia Marekani kasikia Boyz 2 Men wanaimba kwenye diner party! mh! :rolleyes: Naomba nisiseme zaidi!
   
 8. M

  Mtu JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2007
  Joined: Feb 10, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na Asia je?
   
 9. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2007
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Keshaaga leo hapa Arusha tukiwa kwenye mkutano naye.....na anaondoka tonight....
   
 10. M

  Mtu JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2007
  Joined: Feb 10, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaweza kukadilia alikuwa na ujumbe wa watu Mia ngapi?
   
 11. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2007
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Si mnaona jinsi amabavyo kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Juzi tu report ya REDET imesema Jakaya popularity imedidimia na inazidi kudidimia kama projections zao ni sahihi na of naungana nao sina haja ya kufanaya study. Lakini ka jamaa hakajali kitu badala ya kukaa chini na kujiuliza wot to do hako kanaruka huku na kule. labda anaenda kutafuta masoko ya mananasi yake. na mengine mengi tusiyoyajua hiyo party ni kama daraja tu. Labda anaongeze CV yake ya kuwa 2007 aliwahi kuwa guest of honour washington na rais aliyetembelea nchingi duniani kwa kipindi kifupi kuliko rais yeyote duniani Guiness bokk inamsubiri avunje rekodi ili hali hali wana wa nchi wanakufa kwa kukosa dawa na maisha yanazidi kuwa mabaya machovu..... si mnajua cv zilivyochovu mpaka wanaweka mtu akiwa MC katika CV Tanzania hiyo.
   
 12. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2007
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tunamtakia kila la kheri katika kuhemea.
   
 13. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2007
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  moscow kwa sasa ni baridi,huko anaogopa kupatwa na ngiri(joke)mwalikeni kiangazi labda hatakuja
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Dec 11, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Sasa Rais kaondoka leo, na anarudi nyumbani Jumapili ya tarehe 16. Ratiba yake inaonesha chakula cha usiku tu lakini Ikulu wamesema anaenda huko "Kikazi". Nadhani lengo lao wanataka kuwashtua watu pale Kikwete atapokutana na Bush na kupata official state visit (ambayo ilijulikana awali) na hivyo kujenga ujiko zaidi.
   
 15. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mzee Mwanakijiji na wanakiji wote wa Mareakni,Naomba mfuatilie kwa Makini hii ziara ya Rais huko US,Kuna jambo litafanyika ila sijapata uhakika.
  Ujumbe wake uliondoka Jumappili na ndege ya saa kumi na moja,Kulikuwa na wafanyabiashara wengi wa hapa DArisalama na ambao ni rafikize na Jk,Mmoja wao alikuwa na tenda ya kusupply vifaa vya RDC,Sasa sijui huyu mzee kaenda kufanya nini huko..huyu mzee amekuwa akiwatumia sana viongozi wa serikali kupata pesa chafu,
  Nawasihi tena Mwanakijiji,fanya liwezekanalo angalia hata hotel walizofikia.Nafuatilia hawa wafanyabiashara wamefikia wapi ili iwe rahisi kufuatilia,Kuna mikataba inayohusu sekta ya Nishati na Madini inaweza kusainiwa huko US.
   
 16. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #16
  Dec 11, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Maybe this an important event, we should not be general in critising all the president's trips, should we?
   
 17. Bi. Senti 50

  Bi. Senti 50 JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2007
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 291
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari ambazo zimepitia hapa ni pamoja na suala la RDC (richmond). KUna watu ambao wametumwa kufuatilia habari fulani huko sasa sielewi wako upande gani kwa sasa lakini naamini ni kwa ajili ya kuisaidia Kamati.
   
 18. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2007
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Makazi ya Mkuu wa Kaya yatakuwa
  FOUR SEASONS HOTEL WASHINGTON DC
  2800 Pennslylvania Avenue, N.W
  Washington DC 2007.
  Tel; 1(202)342 0444

  www.Fourseasons.com

  Wale Waungwana Bwana Mkubwa yupo hapo mpaka Tarehe 16/Dec atakapotimua kurudi Nyumbani kwa kupitia London.
   
 19. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2007
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Asante Mwawado kwa nyeti hii!
  Sasa mbona ubalozi usiku mwingi kupita kiasi?
   
 20. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2007
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mwawado,
  Utakuwepo? Nikisikia lolote juu ya ziara nitawabeep.
   
Loading...