Msajili wa Hazina: Serikali kuyafuta Mashirika na Taasisi 40 za Umma zinazozalisha hasara na kutegemea ruzuku ya Serikali kuu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
54,689
64,824
Msajili wa Hazina amesema Serikali katika mwaka wa Fedha 2024/25 Serikali Kupitia Hazina inatarakia Kuyafuta Mashirika na Taasisi za Umma 40 ambazo zilianzishwa Kwa minajiri ya kibiashara lakini zimeshindwa kabisa kujiendesha kibiashara na kutegemeana ruzuku ya serikali kuu.

Serikali inakusudia kusalia na mashirika makini yanayoweza Kuzalisha faida na kukuza Uchumi badala ya kuwa na utitiri wa mashirika mzigo.

===

Nehemia Mchechu, the Treasury registrar, said this at a press briefing ahead of a workshop for board chairmen and chief executives of parastatal organisations starting today.

President Samia Suluhu Hassan will officiate at the opening of the workshop, intended to review the status of institutions that fail to contribute to government revenue, while there is a need to reduce dependency on government funds.

The Treasury Registrar’s office expects to see a decrease in the number of institutions reliant on government support, for instance as regards salaries and operational costs.

This implies reducing 30 to 40 institutions, he said, noting that if the exercise is successful it will encourage contributors to budgetary funds to increase their contributions, in expectation that the government would have sufficient funds to deliver essential social services.

He explored the TR’s role as custodian of public investments overseeing 248 public organisations and 58 other entities where the government also holds shares.

The total book value of public investments stands at 76trn/- as the registrar closes accounts for this year, he said.

The 76trn/- public investments are central to the country’s economy, he said, pointing out that managements of public investments oversee non-tax revenue, sourcing over 95 percent of non-tax revenues.

Affirming the importance of the meeting, he said the consultations facilitate changes and improvements in the management of public institutions.

The number of institutions contributing dividends to the government had increased from 109 to 145 during the past financial year, while this year the registrar intends to strengthen board training, new guidelines and enhanced residential support.

The meeting will feature presentations from local and international speakers, examining how public institutions can explore investments beyond Tanzania’s borders, he said.

Various topics will be covered, offering participants opportunities to exchange experiences, review resolutions from last year's meeting, reaffirm government expectations and plan strategies for the current year, he added.

The Guardian

My Take
Naunga mkono hoja,hii ndio maana ya Serikali ya Mageuzi inayoongozwa na Rais Samia. Tuwape muda na ATCL,TRC na TAZARA Ili nao wakishindwa, shughuli zao Wapewe sekta binafsi badala ya kuchukua Kodi yetu kwenda kuyaendeshea.

Pakistan wameweza kuuza Shirika lao la ndege ,Tanzania tunang'ang'ania hasara Kwa faida ya nani?
 
Msajili wa Hazina amesema Serikali katika mwaka wa Fedha 2024/25 Serikali Kupitia Hazina inatarakia Kuyafuta Mashirika na Taasisi za Umma 40 ambazo zilianzishwa Kwa minajiri ya kibiashara lakini zimeshindwa kabisa kujiendesha kibiashara na kutegemeana ruzuku ya serikali kuu.👇👇

View: https://x.com/TheGuardianTzO1/status/1828650148991262892?t=rRPaFvssDgz7vDavPqnnWA&s=19

My Take
Naunga mkono hoja,tuwape mda na ATCL,TRC na TAZARA Ili nao wakishindwa, shughuli zao Wapewe sekta binafsi badala ya kuchukua Kodi yetu kwenda kuyaendeshea.

Pakistan wameweza kuuza Shirika lao la ndege ,Tanzania tunang'ang'ania hasara Kwa faida ya nani?

View: https://www.instagram.com/p/C_SdayltaQO/?igsh=MXB3MjJtNjhjODliMw==

Ni jambo zuri ila imeeachukua muda ku react. Haya mashirika yanakuwa yanatafuna pesa na kupeleka mzigo kwenye mashirika yanayozalisha. Yatokomee mengine yaungwe maana yanafanya kazi moja
 
Ni jambo zuri ila imeeachukua muda ku react. Haya mashirika yanakuwa yanatafuna pesa na kupeleka mzigo kwenye mashirika yanayozalisha. Yatokomee mengine yaungwe maana yanafanya kazi moja
Ni mpaka mpate Rais mwenye malengo wa biashara na mwenye uthubutu kama Samia.

Moja ya mambo Huwa namsifu Rais Samia ni kuchukua maamuzi bila kujali makelele,hata kule Ngorongoro Kwa Masai Kuna sheria ipo Toka enzi ya Nyerere ila walitangulia hawakuchukua hatua mapema Hadi kupelekea watu kuwa wengi mara 5 zaidi ya idadi iliyoruhusiwa.

Sasa hivi Samia anawahamisha Kuna wapumbavu wanakuja na makelele ya kijinga ya sijui Waarabu sijui ilimradi tuu waoinge.
 
Jaman kwa nn wasiangalie Nini kinaleta hasara ndio kihaririwe kuliko kufuta shirika zima?
Nani Sasa aangalie kama Wakubwa wa hayo Mashirika Toka mwaka juzi walipewa mda wa kujitathmini na kuja na Mpango mkakati wa kuleta hela au kuonesha wapi wanakwama na hakuna walichofanikiwa.

Fuatilia mbali,hayana faida zaidi ya kuwa mzigo Kwa walipa Kodi.
 
Ni mpaka mpate Rais mwenye malengo wa biashara na mwenye uthubutu kama Samia.

Moja ya mambo Huwa namsifu Rais Samia ni kuchukua maamuzi bila kujali makelele,hata kule Ngorongoro Kwa Masai Kuna sheria ipo Toka enzi ya Nyerere ila walitangulia hawakuchukua hatua mapema Hadi kupelekea watu kuwa wengi mara 5 zaidi ya idadi iliyoruhusiwa.

Sasa hivi Samia anawahamisha Kuna wapumbavu wanakuja na makelele ya kijinga ya sijui Waarabu sijui ilimradi tuu waoinge.
Suala la ngorongoro ni ni tofauti. Sitoliongelea
Ila hili suala la mashirika si mpak rais aseme, JPM aliweza kuunganisha tfda na shirika lingine , so si samia tu.

Hili oinatakiwa liwe jukumu la serikal nzima, rais anapita lakini serikali itabaki.
Haya mashirika mizigo yafutwe, nguvu kazi ziwe relocated kwa mashirika yenye uhitaji
 
Back
Top Bottom