Jk azidi kuandika historia

Jk azidi kuandika historia

Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.

Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.

Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo

NAWAKILISHA

Hapo no 5, na 4 hivyo vitu JK anatupa kwa hisani ya moyo wake au ni haki za msingi za raia?
 
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.

Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.

Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo

NAWAKILISHA

Kwanza, hivi mtu akitekeleza anayotakiwa kutekeleza inabidi kutoa pongezi.
Pili, vipi KAGODA iliishia wapi?
tatu, mbona watuhumiwa wa ufisadi walinyanyuliwa mikono wakati wa uchaguzi?
nne, hongera kuruhusu uhuru wa vyombo wa habari, ila TBC TV na radio wajirekebishe zaidi
Tano, vibali vya maandamano sawa, ingawa naona bado kuna tatizo la polisi.. kupiga wananchi hovyo hovyo
 
Mtoa mada acha mizaha. Tumezoea sana kuishi kwa mizaha. Mtu anatakiwa kupongezwa kwa utendaji uliotukuka na si kwa kufanya mizaha.
1. JK hakuvunja baraza la mawaziri kama mnavyopenda kuwaaminisha watu, ujasiri huo huyu bwana hakuwa nao na kwa msisitizo hana ujasiri wa kutengua tu nafasi ya waziri yoyote katika serikali aliyoiunda mwenyewe (rejea hotuba ya semina elekezi dodoma), sembuse kuvunja baraza zima? Acha mzaha ndugu, baraza la mawaziri lilivunjika kwa mujibu wa katiba. Mfano baada ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, baraza la mawaziri lilivunjwa, je huo ulikuwa ni ujasiri wa Hayati mwl. Nyerere?
2. Kuwafikisha mahakamani Mramba na wenzake, kama si mzaha basi ni ujuha. Huo ni ujasiri ama ni wajibu wa serikali? Mzaha wa kitoto kabisa, kutekeleza wajibu wako wa kila siku ni ujasiri? Hivi polisi kufikisha mtuhumiwa mahakamani ni ujasiri? Watanzania tupunguze mizaha.
3. Watuhumiwa wa EPA, kwa hili amejidhihirisha alivyoshindwa kutekeleza wajibu wake wa Law enforcement, kampuni zilizohusika na wizi zaidi ya kumi, zilizopelekwa mahakamani nne tu, hayo makamuni yaliyobaki kwanini yameachwa? Kwa JK wezi wana matabaka. Wezi waheshimiwa, unaketi nao kwenye kahawa, vibaka mahakamani.
3. Maandamano ni haki ya kikatiba na si hisani ya JK, acha utani.
4. Uhuru wa vyombo vya habari ni haki ya kidunia, kikatiba. JK hatoi uhuru huo punguza mizaha.
Tuambieni JK na serikali yake wamefanya nini kutupunguzia hali ngumu ya maisha, na si kujisifia na kujaa kwa magari ya mikopo. Uchumi unazidi kuyumba, mwananchi hali mbaya, ana mikakati gani?
 
Nina hasira ngoja kwanza nitarudi baadae
 
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.

Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.

Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo

NAWAKILISHA

Kweli hizi ni bangi bila kula.
Nadhani kabla hujatoa pongezi ungeorodhesha pia mambo mengi
aliyochemka halafu ubalance, vinginevyo hakuna atakayekuelewa
katika takwimu hizi za kupikwa unazozitoa.
 
Kagoda ina bilioni 40 haijapelekwa mahakamani tutampongezaje kwa akina Rajabu maranda. Waachiwe huru tafadhali maana pesa ni zilezile
 
Slaa atapongezwa kwa kuratibu maandamano yasiyo na kikomo HATAHIVYO inabidi ampongeze JK kwa kumpa uhuru wa kuandamana

Kumbe uhuru huo ni personal property ya kikwete? Shirikisha ubongo kabla hujaongea
 
Kweli hizi ni bangi bila kula.
Nadhani kabla hujatoa pongezi ungeorodhesha pia mambo mengi
aliyochemka halafu ubalance, vinginevyo hakuna atakayekuelewa
katika takwimu hizi za kupikwa unazozitoa.

hawa walifungwa ni kama vidagaa tuu samaki papa na nyangumi bado wako nje wanatesa
 
.. Jk ni mvumilivu mnoo.... sasa anagalia lugha zinazotumiwa na wana JF.. kama hiyo... ushalaanika wewe meryttina
Unamalaani kwa majini ya yahaya eeeh!
WENGINE NI ISRAELI WEWE UNAELAANI UNALAANIWA WEWE!
 
Una uhuru wa kutumia demokrasia utakavyo, UKWELI unabaki pale pale JK kapaisha demokrasia TZ na vyombo vya dola amewapa uhuru wa kutekeleza majukumu yake

Fedha za wizi ndio zilimpeleka madarakani, nitampongeza kama JK atajisalimisha mwenyewe kisutu kujibu mashtaka ya wizi yanayomkabili.
 
YOU KNOW WHAT I'M SAYING? Kuna thread hapa kuhusu this window (March 2011 - Now) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-hoja-zinazoipinga-ccm-hapa-jamii-forum.html

yakuza:
Join Date : 22nd May 2011
Posts : 8
Thanks 0 Thanked 4 Times in 1 Post

Rep Power : 0

Lilombe:
Join Date : 11th April 2011
Posts : 124
Thanks 0 Thanked 10 Times in 7 Posts

Rep Power : 21

Hivi vitu ni kweli?? kama ndivyo wakuu mnadhalilisha degree zetu. Msomi unapewa vipesa kuja kuandika upupu hapa JF, na kuonyesha wazi kuwa huna uzalendo na nchi yako hata kidogo????
Any way najuwa ni njaa ziliwasukuma mkakubali proposal za namna hiyo. Lakini bado mna muda wa kunoa akili zenu mfanane na watu wa karne ya 21 maana inaonekana mwezetu kaambiwa tu kaandike wala hakutafakari kitu anachokuja kuandika kaja kupost, wenye kujua sasa wanamuumbua ila haya yote ni matokeo ya njaa kali. njaa inafanya akili ishindwe kufanya kazi yake vizuri, inaleta ujasiri unaodhalilisha tena ikizidi inaondoa hata utu wa mtu. pole sana
 
Wakishitakiwa na kuhukumiwa wamiliki wa Kagoda anaweza kupata pongezi japo kiduchu.
 
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.

Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.

Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo

NAWAKILISHA

Dah jamvi limevamiwa...
 
Sasa kama kila kitu kina mwisho wake basi kwanini iwe CCM na sio chadema? l bora mafisadi kuliko chama chenye nia ya kuchafua nchi.

Kuna mdau kashauri kuwa ukivuta bangi sharti ule! Naona wewe bangi imekukolea sawasawa na umechanganya na gundi yenye petrol! Haiingii akili mtu mzimz unasema bora mafisadi! Yaani unataka mafisadi waendelee kututia umaskini bila kukemewa? Wakikemewa unaona watu wanania ya kuchafua nchi! Kweli watanzania tutaendelea kuwa watumwa wa fikra mpaka kufa! pyuuuu!
 
Slaa atapongezwa kwa kuratibu maandamano yasiyo na kikomo HATAHIVYO inabidi ampongeze JK kwa kumpa uhuru wa kuandamana

Kikwete hana ubavu wa kutoa kibali cha Dr. Slaa na CDM kuandamana, kwanza Jk akimwona Slaa anapita mbele yake anakuwa mdogo kama piriton. Maandamano ni kwa mujibu wa katiba na sheria ya nchi. Suala la kukamatwa mtu na kupelekwa mbele ya sheria ni mahakama. Lilombe mi nadhani unavuta BANGI bila kula chakula.
 
Hayo amefanya kikwete sasa na aliyo fanya Slaa ni yapi zaidi ya kupiga domo?

Nadhani wewe ni Omari! Hivi ndg. yangu unajua wajibu wa serikali na mihimili yake kweli???. Hebu nenda basi darasani au tuishenii ukishajua hilo ujifunze pia na wajibu wa vyama vya upinzani ndo uje kuandika huu utumbo wako hapa jamvini. Au ni hayo magamba yanakulemea ??? Bosi wako si amekuamuru uyavue unachong'ang'ania nini??
 
Back
Top Bottom