Jk azidi kuandika historia

Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.

Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.

Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo

NAWAKILISHA

Usidanganye watu wenye akili. JK hakuwahi kuwa na nia ya kuwapeleka watuhumiwa wa EPA na wengineo mahakamani, alilazimishwa na wafadhili baada ya tuhuma nyingi kuwekwa wazi na Wapinzani, hasa Dr. Slaa. Kwa sababu ya kubanwa na wafadhili, na kuwepo hatari ya kunyimwa misaada ndipo alipotaka kuonesha kuwa amefanya kitu, lakini bado alifanya kwa uangalifu mkubwa kuhakikisha anaendelea kuwalinda mafisadi wakubwa kama KAGODA, DEEP GREEN, MEREMETA na TANGOLD.

Watu ambao wanastahili kusifiwa sana angalao kwa hukumu kama hizi ni Dr. Slaa na wanahabari (siyo wa mtanzania, uhuru, Habari Leo na Daily News) ambao pamoja na kupingwa sana na serikali na CCM walisimama imara kufichua kwa uwazi tuhuma hizi na nyingine ambao mpaka leo si JK wala CCM waliowahi kuchukua hatua.

KAGODA iliyochota 40 bilioni na DEEP GREEN haijaguswa kwa namna yeyote ile licha ya ukweli kuwa kila mmoja anajua wamiliki wake, na yeye JK akiwa mnufaika mkubwa wa fedha hiyo maana ndiyo iliyomweka madarakani.

Kwa mbinu hii hakuna wa kudanganyika. Kama ana dhamira ampeleke mahakamani rafiki yake wa KAGODA, na DEEP GREEN ya chama chake.
 
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.

Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.

Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo

NAWAKILISHA

Kijana bado hujakua kisheria sio JK wala ofisi ya rais ni Mahakama ndio imetoa hiyo hukumu, kwanza tumpongeze Dr Slaaa kwa kuibua hizo tuhuma maana kama siyo yeye wala usingesikia hao watuhumiwa uliowataja na wala JK asingevunja baraza la mawaziri.
 
Ndugu yangu Lilombe

Thread yako ni ya maana sana, na huu ndiyo ukweli juu ya Rais J.K. Kuna vitu vingi vizuri sana kavifanya J.K na watanzania tutamkumbuka baada ya 2015! Of course, mabaya yapo ila kumbuka J.K si malaika.

Lakini kwa bahati mbaya hapa JF, inaonyesha hoja yoyote inayomsema vizuri Mh. Rais na serikali yake, kuna namna mbili hoja hiyo inapata mashambulizi:

1. Ubahatike wasiimuvizishe

2. Utegemee matusi na maneno mazito dhidi yako.

Kama unataka hoja yako ipate michango chanya na mingi, sema lolote baya juu ya Serikali yetu na huku ukiwasifia sana CDM. Wambie 2015 watakuwa Magogoni, then utaona furaha ya wana-JF.

Huu ni mtazamo tu, si lazima uwe ukweli wenyewe.

You are too blind to see!! I am afraid nothing can be done to assist you.
 
Sasa hapa rais apongezwe kwa lipi?
Waziri mkuu akijiuzulu unatarajia rais angefanya nini?
Kuandamana na uhuru wa habari sio HURUMA ya rais ni haki ya wananchi.
Yani we kila kitu unaona ni fadhila za rais.
AMKA tumeingia zama mpya.
 
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.

Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.

Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo

NAWAKILISHA

Tumpongeze pia kwa kuwasamehe bila kuwafungulia mashitaka wale waliorudisha fedha za EPA. Hii inaonyesha ana huruma sana kwa watu wanaiba mabilioni ya wananchi. Pia wakati huu wananchi wasio na hatia wanapigwa risasi na kuuwawa na polisi halafu yeye amekaa kimya. Hii inaonyesha yeye ni mtu mpole sana.
 
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.

Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.

Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo

NAWAKILISHA

Unataka kutuaminisha akina Maranda wamefungwa kwa shinikizo la JK?

Kwa maana hiyo JK anaingilia uhuru wa mahakama
 
Slaa atapongezwa kwa kuratibu maandamano yasiyo na kikomo HATAHIVYO inabidi ampongeze JK kwa kumpa uhuru wa kuandamana

JK siyo mgawa uhuru wa kuandamana, KUANDAMANA NI HAKI YA KILA MTU KIKATIBA, KAMA WEWE YAKO UMEMPA JK UTAJIBEBA maana atakuvua GAMBA.................... NA mta-DEAL sana na vidagaa huku mkiyaacha mapapa yakiendelea kutesa KIMAGAMBA..............

Haya ........... mmewafunga hao wawili ..na wale waliorudisha kimya kimya ....MTAWAFANYA NINI............??? AU MNAWASAMEHE MBUNGUNI NA DUNIANI................??? AU HAWA NDO WALIGOMA KURUDISHA...........???
 
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.

Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.

Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo

NAWAKILISHA

Nikirejea Maelezo yako..............
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu ................ Ilikuwa lazima avuje na wala haikuwa kwa mapenzi yake tena maana waliojiuzulu walikuwa wengi na wengine walikuwa hawana imani naye...........
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja .......... Baada ya kuwafikisha nini kimetokea....??? Ni kiini macho tu ambacho wewe na wenzio mtabaki kujisifia nacho...........
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani ............ Si wote wengine wamebaki siri yake................ Wale waliorudisha kimya kimya hakuna kati yetu anayewajuwa............. inawezekana hata yeye alirudisha..........
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari ............. Hana moyo wa uvumilivu bali analazimika kufuata katiba inayotoa uhuru huo.............
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo .............. Maandamamno ni haki ya kikatiba

Jina linalo kufaa ni ' Bubu ataka kupigwa mhogo'
Mnazidi kuongezeka tu................... Maleria sugu aka GeniusBrain aka Lilombe............ Mkiishiwa POINT tunajuwa mnachokimbilia.............. maana akili zinawatuma hayooo......
 
Namuuliza mtoa mada, Je anawajua mafisadi waliokula fedha za epa?????? Huwezi kumpongeza kwa kwaonea dagaa na kuwaacha mapapa.
 
Bange mbaya sana jamani

Hawa akina Miranda walikwapua bilin 1.8 tu kati ya zaidi ya bilion 133 zilizochotwa EPA;Waliofungwa jana ni vidagaa tu lkn wale manyangumi yaliyochota panono hata mahakamamani hawajafikishwa na wala hawapelekwi popote

Fedha za EPA zilitumika kwenye kampeni za CCM mwaka 2005 na Dr Slaa amekuwa kila siku anasema hivyo na HAYUPO MWENYE UTHUBUTU NDANI YA SERIKALI YA CCM WA KUKANUSHA NA KUMPELAKA MAHAKAMANI hadi sasa!
 
Hivi unataka kutuaminisha kwamba Mh. Rais ndiye polisi, mwendesha mashitaka, mahakama na magereza!! Kwa hiyo kwako huyu ni dikteta na unataka tumpongeze. Nadhani hujui usemalo.
 
Hivi watuhumiwa wa EPA ni wawili tu? Au hawa ni mbuzi wa kafara!? Wapi Jituu Patel, Ben, Zakia Megji, JK na wengine wengi?
 
Kama CDM wanavyojishughulisha na shughuli za mahakama kule NYAMONGO...USHABIKI usio na Maana. We si ulikuwa unapiga kelele kwamba hawashughulikii watuhumiwa wa EPA. Ulitaka yeye ndo awashughulikie au mahakama ndo iwashughulikie?? Usiwe mfinyu wa mawazo.
 
Back
Top Bottom