JK awasili USA

yeah.. na atatoa kauli moja nzito kuhusu Zimbabwe kama hadi Ijumaa Mugabe hatokuwa ametangaza uchaguzi wa marudio. Angalieni alichosema Bush leo kuhusu Zimbabwe;..
 
JK ndiyo katua dakika chache zilizopita na sasa yuko US rasmi.

Hakuna haja ya kwenda kukutana nae msanii huyo, hana cha maana bali ni nyimbo zilezile za kila siku za kuunda tume. Na hata watz wachache watakao jisikia kwenda kukutana nae dawa ni kumzomea kwa kila kitu atakachozungumza mpaka awakamate mafisadi wote.

Anajifanya kimbelembele kufuatilia matatizo ya kenya na zimbabwe mbona anashindwa kushughulikia matatizo ya ndani ya Tanzania kama Zanzibar na mafisadi?. Ni mnafiki na msanii mkubwa huyo.
 
JK ameikimbia London ili asikutane na the Gurdian UK, na kumuweka kiti moto kuhusu mshikaji wake Chenge.
 
Ameogopa ma journalist wa U.K. na katika ule uzinduzi wa investment for bongos pale Savoy hotel inasemekana wale ma reporter hatari kina JOHN SNOW na JEREMY PAXMAN walikuwa wakimsubiri kwa hamu sana na hawa ndio mareporter walovalia njuga BAE scandal. Halafu kuna wabunge kadhaa wa labour wameteta sana kuhusu hizo pesa za fisadi Chenge tungojee prime minister's question kesho saa 6 mchana
 
Wanduguhii ni noma sana yaani hakuna hata TV moja ambyo imetoa habari ya kuwasili kwa Mheshimiwa wetu....TV zote ni ziara ya POPE...ajabu Bush alipokuja TZ MKUU alimpa red carpet lakini sisi wetu akienda kwa ni nonentity...au kwa sababu Mkuu amejialika mwenyewe
 
Wanduguhii ni noma sana yaani hakuna hata TV moja ambyo imetoa habari ya kuwasili kwa Mheshimiwa wetu....TV zote ni ziara ya POPE...ajabu Bush alipokuja TZ MKUU alimpa red carpet lakini sisi wetu akienda kwa ni nonentity...au kwa sababu Mkuu amejialika mwenyewe

Mkuu amekwenda US kwa mwaliko wa Bush au amekwenda kwa ajili ya General Assembly?
 
Kwa zama hizi na nchi ilivyo, na anavyoipeleka, kuna watu wanataka kupiga picha naye????
Hivi kweli vioja, unataka kupiga picha na Fisadi Kikwete hili kujisifia vipi, wakati watanzania wote wanajua kuwa huyu ni mtu mbaya sana kwetu??

Jamani ebu tuache mambo ambayo yamepitwa na wakati haya, baada watu wafikilie watambana vipi ili kuelezea uchafu anaoufanya Tanzania, mnafikilia kupiga picha na Fisadi!!

Thank you Baba Hellen you made my day...Oooops! BabaH.....:)
 
Labda yeye atakua ni dignitary wa pili kupokelewa pale Andrews AFB... Maana kulingana na Reuters, Pope Benedict XIV ndio wa kwanza kupokelewa airport na rais Bush tangia aingie madarakani miaka kadhaa iliyopita... Ninanukuu

"President George W. Bush greeted the pontiff on arrival at Andrews Air Force Base outside the capital, the first time he has gone to the airport to meet an incoming dignitary. Neither made a public statement, but onlookers sang "Happy Birthday" for Benedict, who turns 81 on Wednesday."

Maybe ata-return the favor kwa yeye alivyopokewa kwa vifijo na nderemo na baraza zima la mawaziri, wafanyakazi wa serikali na wanafunzi wa shule pale Dar airport
 

Attachments

  • 2008_04_15t164247_450x331_us_pope_usa.jpg
    2008_04_15t164247_450x331_us_pope_usa.jpg
    17.5 KB · Views: 57
Acheni mchezo nyie US ni kuzuri sana,mwacheni huyo mndengereko apagawe tuu maana akija huku huwa anakuwa heaven na ukizingatia anakubalika na Dubya basi balaa tupu,nani anataka kukutana na wanoko wa UK na wabongo wenye deal mbovu mbovu wenye matawi ya CCM ya kujikomba...njoo unyamwezini tule raha JK this time part itakuwa Vegas bila washamba wale wa boys 2 men ila ni celline Dione!
 
Wanduguhii ni noma sana yaani hakuna hata TV moja ambyo imetoa habari ya kuwasili kwa Mheshimiwa wetu....TV zote ni ziara ya POPE...ajabu Bush alipokuja TZ MKUU alimpa red carpet lakini sisi wetu akienda kwa ni nonentity...au kwa sababu Mkuu amejialika mwenyewe

Mmasai....JK hajaenda on a state visit na hata kama angekwenda kwenye state visit sidhani hata kama wangemuonyesha kwenye TV sana sana wangemuandika kwenye magazeti.
Media ya US na jamii yao kwa ujumla huwa hawana muda na viongozi wa Afrika, na hata huyo pope hii ni mara ya kwanza katika kipindi hichi cha G.W. Bush kwenda Airport kumpokea kiongozi yeyote haijawahi kutokea G.W. kwenda Airport kumpokea mgeni, leo ni mara ya kwanza hawana kawaida ya kufanya hivyo tofauti na sisi...tunaobeba baraza zima la mawaziri kwenda kumsindikiza na kumpokea JK, PM na viongozi wengine wa kigeni wanapokuja.
 
Ataweza ?hata kwa mgongo wa US hataweza yule babu amedata akili zake zote yuko tayari kwa lolote......hatawezaa..kamwe cha mdoli huyo..mtaona majibu atakayopewa..na RM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom